Wanawake mnataka nini hasa?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,648
Reaction score
66,569
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha

Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha.

Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo

Kipi kwenu sahihi mnapenda kusikia au mnataka tufake?

Sisi wanaume wengi mioyo yetu myepesi sana yaani raisi kupenda kiufupi mapenzi yanatufanya tuwe dhaifu licha ya kuwa na mdom kama manara ikifika swala la mapenzi ukali unaisha.
 
Yeah, hata Osama likifika suala la mapenzi anapaki mabomu pending.

Note: sisi wanaume tunaanza kutamani (yaani sex) ndio tunazama deep kwenye mapenzi...,
Ila hawa wenzetu(wanawake) wanaanza kukupenda taratibu, taratibu halafu baadae ndio wanafikilia kuhusu sex.

Ili uende sawa na hawa viumbe inabidi umlie tyming Mzee.
 
Am tired nampenda sana
 
Dah ilo limeshindikana kashanijua naona
 
Wanawake wanapenda wanaume waliokamilika. Wanaume Halisi.
Sasa hapo kwenye wanaume Halisi ndio kila Mwanamke anatype yake.

Mwanamke hahitaji ukweli wowote endapo unamuumiza
Mwanamke hataki kuumia.

Uongo wenye faida ni Bora kuliko ukweli unaoumiza, Kwa hawa viumbe waitwao Wanawake.

Kama hujakomaa Kiakili Wanawake Achana nao. Fanya mambo mengine.
Wanawake wapo kwaajili ya wanaume thabiti waliokomaa
 
Kinachotakiwa ni uwongo pro max
Anapokwambia hataki mwanaume muongo
Unamuhakikishia kuwa wewe sio muongo kwa kumdanganya zaidi na zaidi kinachofuata hapo ni kukuamini
basi kwisha habari yake


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Leo ndio nimeju kuandika neno MYEPESI kumbe ndio iv

Wanawake wenyewe hawajui nini wanataka
 
Achana na wanawake mkuu. Komaa na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…