Wanawake mnapotununia msitunyime na chakula cha usiku

Wanawake mnapotununia msitunyime na chakula cha usiku

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
111
Reaction score
38
Hii imekuwa tabia au silaha kubwa wanayoitumia wanawake walioko kwenye mahusiano na wanaume,yaani mkizinguana tu kidogo ujue unyumba hupati hata kama yeye ndiye mwenye kosa unajikuta mwanaume unaona heri uchelewe kuludi nyumbani ingalau umkute kalala hamjui kama wengine huwa wanaamua kula kwanza huko waliko akifika anakucha na mahasira yako yasiyokuwa na mpango
 
Kwani kutokudoo ni adhabu? kama mmenuniana mtajiandaa vipi kudooo ... kama umerudi nyumbani umenuna usiniguse. Period
 
Jamani kwani ugomvi wetu sisi hao tunaotaka kuwanyima chakula unawahusu nini?!Sisi tukinuniana poa, lakini wenyewe tuwaache wacheze wafurahi kwa raha zao!Wao mbona mmoja akinuna (period) mbona sisi tunaendelea kuchekeana vzr tu?!Tuwasinyime haki zao bwana!We nuna lakini jamaa akitaka kula muache kwa raha zake,teteheheheee
 
Yaani nilivyonuna hapa halafu umeleta huu Uzi.......au umetumia ID nyingine.......na bado.....mpaka ujifunze.......

Usikubali shoga we fikiria alivyovimba sura hakuna mvuto kabisa atakupigisha gwaride mguu pande mguu sawa utajuta
 
mama nanii nionee huruma mwenzako leo siku ya tatu umenichunia mwenzako angalia jinsi ilivyo....... Nitafanyaje mwenzako kutoka inje siwezi nakupenda
 
Usikubali shoga we fikiria alivyovimba sura hakuna mvuto kabisa atakupigisha gwaride mguu pande mguu sawa utajuta
Sista kama hujaenda sherehe za uhuru?Kuna MWENDO WA POLE,sio kila wakati ni mguu pande mguu sawa!Teteheheeee
 
Last edited by a moderator:
haaaa haaaa hiyo kali huwaga nasikia sana hii habari, me kama umeniudhi nanuna na chakula cha usiku ukitaka utakula kama kawa na kununa kunaendelea palepale, maana nyie huwa mnajua mkipewa chakula ugomvi umeisha, yan baada ya hapo nanuna zaidi ya mwanzo
 
Kweli kabisa... ugomvi wetu wao hauwahusu..Sisi tuendelee kununiana lakini tuwaache wao wacheze wafurahi eeeh...!

Wanaumme tunap0lalamika kunyanyswa kijinsia unadhani ni lazima kukwidwa? Huu ni 1st class unyanyasaji wa wanaumme tulioko katika ndoa\mahusiano na akina mama\dada! Kuna haja ya kuangalia jinsi ya kuandamana kwa amani kushinikiza akina mama muache kuhusisha magomvi yenu na waumme zenu na HAKI ND0A!
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Yaani nilivyonuna hapa halafu umeleta huu Uzi.......au umetumia ID nyingine.......na bado.....mpaka ujifunze.......

Haahaa haahaahaa🙂 Kama mgawo huu unazidi hata wa Tanesco!
 
napenda kale ka ugomvi kakikolea (kabla hakajapoa) mnajkuta mmesuluhishia kwenye mgegedo...unakuwaje na ladha!
 
Back
Top Bottom