Wanawake mnapotununia msitunyime na chakula cha usiku

Wanawake mnapotununia msitunyime na chakula cha usiku

utamhamisha ohooo!!!! Badala ya kusema yameisha mpenzi njoo unikumbatie wewe unatangaza hali mbaya asiporudi leo mimi simo

akwende huko.....anivuruge halafu nim'bembeleze.....?......not me oooh....not me........
 
Fixed Point,mnasahau kabisa kabisa,kesho yake ndo unasikia ''Unajua hiyo tabia yako siipendi,jana uliniudhi,uliniumiza sana baby wangu'',Nisamehe laazizi wangu,sitarudia tena asali wangu wa moyo,alafu hivi ulisema unazitaka lini zile milioni 3 za ule mradi wako wa saloon?''
Kwishinei,game nyingine!!
ha haaa, kirahisi tu?
 
Kisha utsikia umeniumiza kweli baby lakini nilisikia rahaaaa lakini wengine wanakua n.a. Asira
 
Sista kama hujaenda sherehe za uhuru?Kuna MWENDO WA POLE,sio kila wakati ni mguu pande mguu sawa!Teteheheeee

sungura1980 tatizo tukiwa tumenuna wote mwanaume ndio ataenjoy pekeyake mwanamke anaumia na gubu lake! hakuna mapenzi hapo
 
Last edited by a moderator:
nakwambia nanuna balaa hapo utacheka ww me kmya maana hapo lazima nikinuna af unajidai unataka naongeza maujuzi chakula kinakuwa kitamuuu, af mnuno wake sasa ww unajichekesha me km ckujui vle
luv vikinoga mwenyewe utacheka tu.
 
Last edited by a moderator:
sungura1980 tatizo tukiwa tumenuna wote mwanaume ndio ataenjoy pekeyake mwanamke anaumia na gubu lake! hakuna mapenzi hapo

Sio kweli labda kama ni wanaume wa staili zile za ubakaji!Lakini hata kama umenuna Sista ukiandaliwa vizuri utasahau kila kitu!Unajua pale hata mtu akuUfosaro huwezi hisi chochote,utakuja hisi maumivu baadaye!
 
Last edited by a moderator:
luv vikinoga mwenyewe utacheka tu.

tatizo mmezoea kuwa hiyi ndio njia ya kumaliza ugomvi, ila kwangu me nipo tofauti hilo halimalizi ugomvi na siwezi kumnyima mtu chakula coz ni "haki yake ya msingi"

huwa sijipi nafasi ya kucheka wala kufurahi kwa sababu utamchekea kisa tu amekugegeda ila bado unabaki na maumivu ambayo hamjayapatia ufumbuzi sasa ndio nini?

na huwa mnafanya makosa kwa kutegemea tukila chakula cha usiku kila kitu mmemaliza, hili suala kwangu halina nafasi hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
hivi kumbe mkinyimwa huwa mnaumia sana jamani?
poleni sana kina baba/kaka.
mi nlikuwa sjui, na nna hiyo taba sana ya kunyimia nyimia mtu

kumbe inauma hadi kupanga maandamano ya amani!!
 
sasa mkuu unataka afanyeje hilo tendo la maraha na mnuno??? tena kama yeye ndio mlalamikaji/mtendwa..Inakuja kweli!

Though naliaminia sana ktk kurudisha amani iliyopotea kwi kwiiiiiii!
 
Wala hujadanganya rafiki, lazima uwe kwenye mood ili participation iwe 200% LOL!!! Unakuwa kwenye dunia nyingine kabisa :A S 11: :A S 11: :A S 11:

ha haaa, vipi tena rafiki? au nimedanganya?
:hug::hug::hug:
 
Back
Top Bottom