OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Na kwa nini sasa kukiwa na.hako ka ugomvi na.ikipigwa hiyo mambo kuna watu wakimaliza kwa hasira wanalia kama wamefiwa!!!!!!
watafurahije kama mind haiko sawa cha zaidi itakuwa ni kuchoshana tu.......embu imagine mnado kila mmoja amenuna unadhani hata concentration itakuwepo kweli?Kweli kabisa... ugomvi wetu wao hauwahusu..Sisi tuendelee kununiana lakini tuwaache wao wacheze wafurahi eeeh...!
mama nanii nionee huruma mwenzako leo siku ya tatu umenichunia mwenzako angalia jinsi ilivyo....... Nitafanyaje mwenzako kutoka inje siwezi nakupenda
Kwangu Mimi muhimu kukojoa tu
mnasahau?
labda kama nimenuna ninunuliwe nguo mpya..... but umenikwaza kabisa...... nasahau! sijawahi sikia hii
Sio kweli labda kama ni wanaume wa staili zile za ubakaji!Lakini hata kama umenuna Sista ukiandaliwa vizuri utasahau kila kitu!Unajua pale hata mtu akuUfosaro huwezi hisi chochote,utakuja hisi maumivu baadaye!
sungura1980 ........ Wewe thubutu yake labda anitangulize dinner na zawadi ya khanga
tena huwa kinanoga balaa.