Wanawake mnaojichubua ngozi mnaniudhi na mnakera mno

Wanawake mnaojichubua ngozi mnaniudhi na mnakera mno

Kumbe nilikosea mahesabu, huwa najenga picha kutokana na Id+comments+avatar. Nilikuwaga nadhani wewe ni chocolate. Lol!

Hahahaaa pole sana siku nyingine usitengeneze picha yako wakati mtu humjui
 
Kuna watu wanaviwanda majumbani wanatengeneza "mkorogo". Vifaa vinavyotumika ni pamoja na colget, sabuni ya omo, bleech na cream hiza kawaida either Vaseline or cocoa butter. Ukipewa hilo kopo linachemka lenyewe!


Tobaaa hiyi ngozi si itababuka jamani
 
He we hujui? Mwanamke deki!! Lazima ajideki ndiyo atakuwa mrembo. Ha ha ha!! Hata mimi nachukua sana michubuo hiyo. Ila nadhani kuna wanaume wanapenda mwanamke anayejipiga deki. Utakuta mke wa mtu kajideki na mumewe anaona sawa tu!!! Ndiyo maana wanajideki kila kukicha!!!
Mi sijawahi kuona wanawake warembo kama weusi, ni warembo mno..., infact wanavutia sana..!! Cha kushangaza sasa, kuna mijitu yenye upungufu wa akili kichwani inajichubua bila huruma! kibaya sasa, kwenye zile joint za mikono na miguuni unakuta rangi yake ya asili inabaki, na hata sehemu zingine za mwili unakuta mabaka mabaka.., yaan huwa naskia hasira sana! stupid!
 
DVCI0133.JPG
Weka picha itaeleweka zaidi
 
RaNgiYeTuuu NyeUsiii ni SafIii Balaa.
Black Jesus! amewaLaaani wOte WapAkao MiKoroGo iLi wAweweUpe.
SHame oN yu stupid peoPle mliO n.a inFerioRmIndsss.
 
Pumbavu sana mwanamke unayejichubua....ndo maana ni kweli hawana ladha...tandalupeta na umaruuu!!sikinde ngoma ya ukae....pAmbafu sana...
 
Mm binafsi ndiyo maana mwanamke mweupe kwangu lazima awe muarabu,muhindi,mzungu n.k...Lakini mwanamke mwenye weupe magumashi huwa hawanishtui...
 
Mwanamke kujichubua ni dalili ya kutojiamini na kutojijali..mwanamke mwenye akili timamu hawezi kufanya upumbavu kama huo...ni moja kati ya matendo yanamfanya mwanamke aonekane kituko na mwanamke wa aina hiyo hafai kuwa mke na hana sifa ya kuwa mke labda kipoozeo..........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Unakuta mama mweupee toto jeusi ka kinyago, si kichekesho hicho jamani,nishawahi nikadhani kaiba mtoto kumbe ni wa kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom