Wanawake mnaoamini mwanaume ana pesa muda wote mnafikiri wanaume wanatoa wapi hizo pesa?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,764
3,402
Yaani mtu anaenda kula halafu akiwa huko anakupigia simu akurushie lipa namba wewe ndio ulipe.

Hivi hiyo ni akili au matope?

I mean, come on, am I missing a point or what?

Halafu mnataka haki sawa, hamsini kwa hamsini, like seriously (in babra hassan's voice)?

Yani mtu anaenda kula hlf akiwa huko anakupigia simu akurushie lipa namba wewe ndo ulipe.

Hivi hiyo ni akili au matope?

I mean, come on, am I missing a point or what?

Hlf mnataka hamsini kwa hamsini?, like seriously? (in babra hassan's voice)

ni imani na mafikra potofu kwa wachache wasio jielewa miongoni mwao 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Yani mtu anaenda kula hlf akiwa huko anakupigia simu akurushie lipa namba wewe ndo ulipe.

Hivi hiyo ni akili au matope?

I mean, come on, am I missing a point or what?

Hlf mnataka haki sawa, hamsini kwa hamsini?, like seriously? (in babra hassan's voice)

Mkuu hudumia acha kulalama
 
Yani mtu anaenda kula hlf akiwa huko anakupigia simu akurushie lipa namba wewe ndo ulipe.

Hivi hiyo ni akili au matope?

I mean, come on, am I missing a point or what?

Hlf mnataka haki sawa, hamsini kwa hamsini?, like seriously? (in babra hassan's voice)

Ke aaminiye mafanikio aliyomkuta nayo Me bila ya kujua nyenzo iliyohusika na itayohusika wakiwa ktk ndoa/mahusiano ni Danga la kisasa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Unaweza kumuomba show usiku akagoma alafu asubuhi wakati unajiandaa kwenda job anataka akupe
😂😂😂😂 Mkuu umenikumbusha mbali sanaaa. Dah! Nadhani kuna wakati wanakua na akili zinazowaza kwa kufanana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom