Napenda mtu awe anasema me niwe wa kutekeleza tu.. Namaanisha awe na maamuzi😃Kwambaaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Namna hiyo ndo napenda 🤭🤭Unataka kuishi kwa amri?
Babe naomba ruksa niende Town.. hapana hakuna kwenda, subiri mwezi ujao nakuja kukupeleka mwenyewe. Ndo unapenda?
mie ntalipuka aise...maisha ya hivyo ni kwikwiUnataka kuishi kwa amri?
Babe naomba ruksa niende Town.. hapana hakuna kwenda, subiri mwezi ujao nakuja kukupeleka mwenyewe. Ndo unapenda?
inategemeana aisee.Napenda mtu awe anasema me niwe wa kutekeleza tu.. Namaanisha awe na maamuzi😃
Uwiiiii 😂😂Namna hiyo ndo napenda 🤭🤭
Basi mimi ndo naenjoy nikiwa na mtu wa hivyo 😃😃🤭inategemeana aisee.
mi siwezi
Akikwambia acha kazi binti utaacha?Napenda mtu awe anasema me niwe wa kutekeleza tu.. Namaanisha awe na maamuzi😃
ukiwahi kumwona mkurya ambaye hapigi nistue,, au mkinga( nao wanakuaga serious sana)😂😂🙈Uwiiiii 😂😂
Nakutafutia dunia yako, huku hamna utatubana
dah...basi mm nimevurugwa🥱🤣Basi mimi ndo naenjoy nikiwa na mtu wa hivyo 😃😃🤭
huyu bado ni under 20 bwana..nimemwelewa...kuna watu hata saloon hadi uombe ruhusa...afu makusudically anakukatalia...🚮Akikwambia acha kazi binti utaacha?
😂😂
Em ngoja kwqnza.. muda unapewa hizo amri unakuwa ni mke or just a girl friend?
Kwenye kazi hapo sasa🫡🫡... asiniambie niache kazi 😃😃😃, au kama naacha awe anadeposit kila mwezi account yangu iwe full😂😂🤭Akikwambia acha kazi binti utaacha?
😂😂
Em ngoja kwqnza.. muda unapewa hizo amri unakuwa ni mke or just a girl friend?
Kiukweli mwanaume hatakiwi kupoa kama uji wa mtoto.Basi mimi ndo naenjoy nikiwa na mtu wa hivyo 😃😃🤭
akiletwa Dk anaweza baini kaugonjwa ulikonako..Namna hiyo ndo napenda 🤭🤭
Content kwako ni nini ?Kwa kifupi hana content..
Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
Mimi mapenzi ya baby baby, mara sweetie mara honey siyataki.. yani nataka mtu awe serious 😂😂😂dah...basi mm nimevurugwa🥱🤣
Bas sawaa [emoji23][emoji23][emoji23]Napenda mtu awe anasema me niwe wa kutekeleza tu.. Namaanisha awe na maamuzi[emoji2]
yes mwanaume alopoa anakinaisha...ila sio pigo hizo..never...Kiukweli mwanaume atakuwa kupoa kama uji wa mtoto.
Haishi tu kwenye ile manhood yake.. babe sitaki hiki, sitaki kile. Mbona yule memba anakuchekea sana pls stop. Labda hizo.
Ila mambo za ubabe hamna kwenda mjini mpk mwezi ujao hehee duh 😂😂😂😂
Wee kunguruu huwa unawaza nn kwaniii? KhaaahSisi wanawake wa daslama tumegoma kuchangia mpk watuombe radhi kwann walitusema eti, “Tunawapiga finger wanaume zetu muda wa kupenzika” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye kazi hapo sasa🫡🫡... asiniambie niache kazi 😃😃😃, au kama naacha awe anadeposit kila mwezi account yangu iwe full😂😂🤭