tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Utakuta kila kwenye mazungumzo ya simu na mpenzi wako anakuuliza maswali yale yale mazungumzo yale yale mpangilio ule ule mpaka unakereka na kupata ukurivu na uchoshi (boredom and tiresome) maneno na maswali yenyewe ni haya:-
1. Baby uko wapi? Ili hali anajua muda huo uko job.
2. Baby Umekula? Ili hali anajua kila siku lazima ule?
3. Baby umevaa nini? Ili hali anajua lazima uvae nguo.
4. Baby Umeoga? Ili hali anajua lazima uoge.
5. Baby unafanya nini? kana kwamba yeye ni mlinzi wako.
Najua mnakuwa na lengo la kuonesha mnajali, but mkiwa mnayauliza kila mara, kila siku, kila mazungumzo ya simu, kila wakati, kwa namna ile ile, mpangilio ule ule, yanaboa na kuonesha hamna uwezo wa kuwaza zaidi. Sijui mnanielewa vile!
Ladies; Badilisheni badirisheni mpangilio wa phone conversation ili mlete mvuto na hamu ya kuzungumza!
Unaweza ukayauliza hayo kitofauti tofauti sio kwa mpangilio ule ule kwa kila mazungumzo mpaka inakosa mvuto.
Wakati mwingine kwenye mazungumzo ya simu, mwambie mwanaume wako about wazo la biashara, kiwanja kizuri, n.k. atakuona unafaa kuwa good partner!
Maoni yangu lakini, ladies msinichukie.
Haya nikosoeni