Wanawake: Mazungumzo haya yanatukera wanaume

Ila inaleta raha ya aina yake mnapostuana kila mara buana. Sasa nisipokusumbua wewe nimsumbue nani tena?
Vale we nisumbue tu sweetie, baby wangu wa ukweli. Tena usiponisumbua nikirudi huko home leo utanieleza ulikuwa na nani hadi akusahaulishe kiasi hicho.
 
Hebu acha hizo. Yaani kuulizwa umekula ama uko wapi ni weakness? Ukipata mke hakupigii simu mchana hata siku moja, na hakujulii hali mchana kabisa uyaona umebahatika? Mtu akijishaua kwangu kiwa hapendi salamu sijui nini namshiti hadi anaomba poo.
hhahahaha kina mama mna maneno!!! Dah! Ila jamaa kasema kweli kiasi fulani sema inabidi umjue mtu tu alivyo. Mimi huwa nachukulia kama weakness halafu najitahidi kuzoea na baadaye nazoea kabisa sipati tabu.
 
Sema wewe ndo huyapendi Mwanaume wangu anayapenda hayo maswali mbona na nisipomuuliza atazua ka ugomvi
 
Vale we nisumbue tu sweetie, baby wangu wa ukweli. Tena usiponisumbua nikirudi huko home leo utanieleza ulikuwa na nani hadi akusahaulishe kiasi hicho.

He he heee umeona sasa,hayo ndio mambo. Lazima nikusumbua kwanzia unaamka mpaka unalala aise. Coz kampani yetu kubwa ni kwenu... Sasa ukiweka mipaka na kusema nakusumbua wanipa wakati mgumu ati...
 
Hebu acha hizo. Yaani kuulizwa umekula ama uko wapi ni weakness? Ukipata mke hakupigii simu mchana hata siku moja, na hakujulii hali mchana kabisa uyaona umebahatika? Mtu akijishaua kwangu kiwa hapendi salamu sijui nini namshiti hadi anaomba poo.

Hawaelewi wanataka nini hawa...
 
Hebu acha hizo. Yaani kuulizwa umekula ama uko wapi ni weakness? Ukipata mke hakupigii simu mchana hata siku moja, na hakujulii hali mchana kabisa uyaona umebahatika? Mtu akijishaua kwangu kiwa hapendi salamu sijui nini namshiti hadi anaomba poo.
King bana!! hebu punguza munkari kwanza. Ujue inawezekana sio weakness ila kwa kuwa sio kitu nachokipenda nimeamua kuchagua hiyo kama coping mechanism na inafanya kazi vizuri kabisa. Mwisho wa siku kila mtu yuko hapi maisha yanasogea. Bado kuna shida hapo?
 
Hahahaha.... Yaani kama upo na Mimi vile mkuu. Atatext "niambie" au huwa wanafupisha "nambie".. Unajua females wanaouliza hivi wengi wanasifa zifuatazo mkuu.

1. Very Low thinking capacity. Hawa wanakutegemea wewe ndio uwe moderater wa maongozi every time mnachati, wewe ndio uwe unafanya all the thinking yeye kazi yake ni kujibu tu au kucheka, hataki kuumiza kichwa

2. No school au shule imekaa pembeni. Hawa ni aina ya mabinti ambao hawana exposure sio tu kimasomo hata pia kijiografia, hii inafanya akili yake kuwa limited kwakuwa hana cha kuongea.

Kuna sababu nyingine nyingi tu, ila nimetaja mawili tu start with.
I wish they knew Men are obsessed na charming women, creative ones na wale wenye upeo.
duh! unaponda sana. Mi nadhani mazungumzo na style ya mazungumzo yanendana na haiba ya mtu. Kuna watu mkikutana haijalishi elimu zenu mnaweza kuongea au kuchati mpaka asubuhi. Kuna wengine mnaboana tu - mmoja anaona mwenzie mcharuko, mwingine anamuona mwenzie zoba. Ila nachojua kama mtu hana kazi ya kufanya ndo bebi bebi zinazidi.
 
Kweli... Kuna haiba ya mtu pia
 
Lazma uwe mkurya wewe. Sasa si ubebishe wakurya wenzio? Usituchoshe, maswali lazma yaendelee.

Pole pole pole poleee huo ni mtizamo wake,na ni neno lake sio sheria eti tu itatubadilisha hata sisi tunaopenda kuulizwa kimahaba mahaba hayo maswali
 
mmmh something smells fish nna waswas bwana mkubwa utakua hupend kuoga ko kila unachoulizwa kinakua kero kwako
 
duh! unaponda sana. Mi nadhani mazungumzo na style ya mazungumzo yanendana na haiba ya mtu. Kuna watu mkikutana haijalishi elimu zenu mnaweza kuongea au kuchati mpaka asubuhi. Kuna wengine mnaboana tu - mmoja anaona mwenzie mcharuko, mwingine anamuona mwenzie zoba. Ila nachojua kama mtu hana kazi ya kufanya ndo bebi bebi zinazidi.

Yaani mi ata niwe na mikazi mingi kiasi gani nikivumilia sana kila baada yanusu saa lazima nikucheki. Na ole wako usichelewe kujibu au unipe majibu ya short ntakununia weee wiki nzima
 
Enhee ninunie nunie nunie tu, ukicheka cheka utaniudhi...
 
Back
Top Bottom