Wanawake: Mazungumzo haya yanatukera wanaume

Wanawake: Mazungumzo haya yanatukera wanaume

tajirijasir

Msipoulizwa hayo mnasema hampendwi, mkiulizwa mnakerekaaa Mbona hamna jemaaa???
 
Last edited by a moderator:
Jiamini bwana.
Tunajali sana tu, na ni automatic ujue
sio kila tu anaekuuliza baby upo wapi au umekula anakupenda wengine wanauliza ili ajue upo kiwanja gani nae achepuke ili usimfumanie hawa viumbe ni wajanja kuliko sungura yaaani basi tu
 
Mh! Hii huwa inabore kwa kweli, maswali yale yale taabu tupu. Bora waanze kwa kusema ' wanataka kugegedwa muda huo' kama jamaa yuko mbali basi atamwambia. Swali la uko wapi, huwa binafsi silipendi
 
Umesema kitu hapo... Wapo baadhi sio wabunifu hata ukichati nae.. Utakuwa short answers like "k" "sawa" " ndio.. Binafsi I get bored. Basi ukiacha room aendeleze conversation, anadakia " niambie".. Jirekebisheni kwakweli, at the same time unakutana na mwingine very interesting to chat with., then you automatically shift interests zako

Tena hicho ki sentensi cha "Niambie" kinanikeraga kweli! Mtu unampa room at least aongee kitu, na the only thing anaweza sema ni "niambie" shit!
 
tajirijasir

Wapo wengine wavivu wa kuoga anadai kachoka ukimwambia akajimwagie maji mwili uchangamke utasikia nitaoga kesho so ni wajibu kumkumbusha kuoga
 
Last edited by a moderator:
We kabila gani??? ee ladies huwa tunapenda ila uyu nahisi ni special kesi
aya maswali yanaonesha unajali-wa na unalindwa yani upo mikono salama...!!! caring spirit..!!
Hapa singumzii wale wa kuchepuka...!!
 
Wajifunze kuongea indirectly make lugha ni tamu sana na inamotivate kama anaivilingisha huku na kule
 
every person is an individual, kila mtu ana kitu chake atakacho kusikia. kama wako kila mara anarudia, mwambie hufurahishwi aache. tafuta njia ya kumfanya abadili hayo maswali kitaratibu. LOVE IS VERY TENDER, SHOULD BE HANDLED CAREFULLY
 
ahaaaaa....na usipo ya jibu hayo maswali...utaskia ohh najua uko kwa malaya wako...na ukimwi utakuuwa mbwa wewe..!!!
 
Amini usiamini iko midume ina maswali hayohayo, tena anaweza kupiga simu hata mara nne kwa siku na kuuliza ujinga ujinga tu, na usipopokea simu ili kuepuka round nyingine tena ya ujinga inakuwa ugomvi. Usihukumu upande mmoja tu.
 
tajirijasiri

hao ni janga la taifa ndugu,unakuta mtu unawaza mambo ya familia,unafikiria utaumaliza vp mwezi anaanza kukuhadithia mambo ya ofisini mara oooh hadija amenunuliwa viatu vizuri kweli na mumewe,mara oooooh kuna rafiki yangu amenunua begi zuri kweli mara ooooooh blaaah blaaaaah....ladies badilikeni jamani

Pole tafuta mwanamke yuko vizuri upstairs hao wanao discuss mabag na viatu sio may be wewe umesoma sana na uko na msichana asiesoma ndio maana unashangaa thinking capacity zao
 
Last edited by a moderator:
Amini usiamini iko midume ina maswali hayohayo, tena anaweza kupiga simu hata mara nne kwa siku na kuuliza ujinga ujinga tu, na usipopokea simu ili kuepuka round nyingine tena ya ujinga inakuwa ugomvi. Usihukumu upande mmoja tu.
hii ni midume iliyoathirika na vineno vya kike.
 
Sijakataa kupetiwa petiwa, na hayo maswali yaulize kwa dizaini tofauti tofauti sio kila siku mfumo na mpangilio wa swali na mazungumzo yale yale tune ile ile. Uchoshi bwana
Poa baby umeshakula lakini? Teh
 
me naona ni sawa na si sawa inategemea ntu na ntu lakini pia ni ishara yakujali.....
 
Back
Top Bottom