Wanawake: Mazungumzo haya yanatukera wanaume

Umesema kitu hapo... Wapo baadhi sio wabunifu hata ukichati nae.. Utakuwa short answers like "k" "sawa" " ndio.. Binafsi I get bored. Basi ukiacha room aendeleze conversation, anadakia " niambie".. Jirekebisheni kwakweli, at the same time unakutana na mwingine very interesting to chat with., then you automatically shift interests zako

ukijamba '' pole baby hujaumia hahaha mahaba niue mie''
 
tajirijasir

Msipoulizwa hayo mnasema hampendwi, mkiulizwa mnakerekaaa Mbona hamna jemaaa???

Endeleeni kutuuliza maswali tofauti tofauti kwa namna tofauti tofauti mpangilio tofauti tofauti muoneshe mnajali kitofauti tofauti. Inaleta raha!
 
Last edited by a moderator:
Umesema kitu hapo... Wapo baadhi sio wabunifu hata ukichati nae.. Utakuwa short answers like "k" "sawa" " ndio.. Binafsi I get bored. Basi ukiacha room aendeleze conversation, anadakia " niambie".. Jirekebisheni kwakweli, at the same time unakutana na mwingine very interesting to chat with., then you automatically shift interests zako

unakuta uko bize na kitu flan.... anakubip sana au sometime anakupigia unamtumia sms niko bize nakupigia alafu lets say umepata freeunampigia anakuuliza mbona hupokei cim unamjib nilikua tight na kitu flan ok.... wakat unasubir akwambie icho cha muhim anakwambia niambie??? nabaki mdomo wazi...... wewe mda wote ndio ulikua unanichek nimepata chance unaniambia mm nikwambie tena? nikwambie nn badala ya ww kuniambia ulichokua unataka!!!! kama ni salam tu huna sababu ya kunipigia na kunibip mfululizo especailly nshakwambia niko na kazi kidogo tena mwingine unakuta ni mda wa kazi kabisa uko ofisin!!!!
 
Hahahaha.... Yaani kama upo na Mimi vile mkuu. Atatext "niambie" au huwa wanafupisha "nambie".. Unajua females wanaouliza hivi wengi wanasifa zifuatazo mkuu.

1. Very Low thinking capacity. Hawa wanakutegemea wewe ndio uwe moderater wa maongozi every time mnachati, wewe ndio uwe unafanya all the thinking yeye kazi yake ni kujibu tu au kucheka, hataki kuumiza kichwa

2. No school au shule imekaa pembeni. Hawa ni aina ya mabinti ambao hawana exposure sio tu kimasomo hata pia kijiografia, hii inafanya akili yake kuwa limited kwakuwa hana cha kuongea.

Kuna sababu nyingine nyingi tu, ila nimetaja mawili tu start with.
I wish they knew Men are obsessed na charming women, creative ones na wale wenye upeo.
 
Utakuta kila kwenye mazungumzo ya simu na mpenzi wako anakuuliza maswali yale yale mazungumzo yale yale mpangilio ule ule mpaka unakereka na kupata ukurivu na uchoshi (boredom and tiresome) maneno na maswali yenyewe ni haya:-

1. Baby uko wapi? Ili hali anajua muda huo uko job.
2. Baby Umekula? Ili hali anajua kila siku lazima ule?
3. Baby umevaa nini? Ili hali anajua lazima uvae nguo.
4. Baby Umeoga? Ili hali anajua lazima uoge.
5. Baby unafanya nini? kana kwamba yeye ni mlinzi wako.

Najua mnakuwa na lengo la kuonesha mnajali, but mkiwa mnayauliza kila mara, kila siku, kila mazungumzo ya simu, kila wakati, kwa namna ile ile, mpangilio ule ule, yanaboa na kuonesha hamna uwezo wa kuwaza zaidi. Sijui mnanielewa vile!

Ladies; Badilisheni badirisheni mpangilio wa phone conversation ili mlete mvuto na hamu ya kuzungumza!

Unaweza ukayauliza hayo kitofauti tofauti sio kwa mpangilio ule ule kwa kila mazungumzo mpaka inakosa mvuto.

Wakati mwingine kwenye mazungumzo ya simu, mwambie mwanaume wako about wazo la biashara, kiwanja kizuri, n.k. atakuona unafaa kuwa good partner!

Maoni yangu lakini, ladies msinichukie.

Haya nikosoeni

Hii ni core features za poor countries or third world or least developed or south countries or dependant countries or underdeveloped countries au developing countries au non_industrial countries.
 
Ni vizuri ukamuacha mtu aongee kile anachojisikia kwa muda ule. Usimchagulie cha kuongea. Sawa atabadilisha namna ya kufikiri na kuongea, lakini bado utasema dah kila siku hayo hayo. Kwanza hakuna jipya mambo ni yale yale siku zote. Itafikia kipindi mpaka utamuambie, basi uwe unabdilisha naniii bana kila siku hii hii tu.
 
Amini usiamini iko midume ina maswali hayohayo, tena anaweza kupiga simu hata mara nne kwa siku na kuuliza ujinga ujinga tu, na usipopokea simu ili kuepuka round nyingine tena ya ujinga inakuwa ugomvi. Usihukumu upande mmoja tu.

Mmmh lakini kwani Kuna baya gani hapo iwapo ankuulizia yaliyo ya kheri kwako :what: ukiona hivyo ujue anakuwaza anakujali na ndy maana haishi kukujulia kheri yako
 
Binafsi mimi ni mkurya mchanganyiko!
Hayo maswali huwa nayapenda sana kwa sababu huwa yanawachanganya sana wachuchu wangu...😛oa😛oa

Kwa mfano.. mchuchu wa kwanza katuma ujumbe '' baby umekula?''

Kabla sijajibu, mchuchu wa pili katuma... '' Baby karibu tule''

Kabla sijafuta ujumbe wa kwanza.. mchuchu wa tatu katuma... ''Baby leo nimeandaa msosi kama wa Juzi, tam sana''!

Sasa mwishoni najichanganya kwajibu.. Wa mwisho kajibiwa text ya wa kwanza, wa kwanza kajibiwa ya wa pili, na wa pili katumiwa ya wa tatu na wa kwanza...

Msala...!

Muraa hujambo weye
 
Utakuta kila kwenye mazungumzo ya simu na mpenzi wako anakuuliza maswali yale yale mazungumzo yale yale mpangilio ule ule mpaka unakereka na kupata ukurivu na uchoshi (boredom and tiresome) maneno na maswali yenyewe ni haya:-

1. Baby uko wapi? Ili hali anajua muda huo uko job.
2. Baby Umekula? Ili hali anajua kila siku lazima ule?
3. Baby umevaa nini? Ili hali anajua lazima uvae nguo.
4. Baby Umeoga? Ili hali anajua lazima uoge.
5. Baby unafanya nini? kana kwamba yeye ni mlinzi wako.

Najua mnakuwa na lengo la kuonesha mnajali, but mkiwa mnayauliza kila mara, kila siku, kila mazungumzo ya simu, kila wakati, kwa namna ile ile, mpangilio ule ule, yanaboa na kuonesha hamna uwezo wa kuwaza zaidi. Sijui mnanielewa vile!

Ladies; Badilisheni badirisheni mpangilio wa phone conversation ili mlete mvuto na hamu ya kuzungumza!

Unaweza ukayauliza hayo kitofauti tofauti sio kwa mpangilio ule ule kwa kila mazungumzo mpaka inakosa mvuto.

Wakati mwingine kwenye mazungumzo ya simu, mwambie mwanaume wako about wazo la biashara, kiwanja kizuri, n.k. atakuona unafaa kuwa good partner!

Maoni yangu lakini, ladies msinichukie.

Haya nikosoeni

😱😱😱
 
Lazma uwe mkurya wewe. Sasa si ubebishe wakurya wenzio? Usituchoshe, maswali lazma yaendelee.
hhahahaha kina mama mna maneno!!! Dah! Ila jamaa kasema kweli kiasi fulani sema inabidi umjue mtu tu alivyo. Mimi huwa nachukulia kama weakness halafu najitahidi kuzoea na baadaye nazoea kabisa sipati tabu.
 
Ila inaleta raha ya aina yake mnapostuana kila mara buana. Sasa nisipokusumbua wewe nimsumbue nani tena?
 
Back
Top Bottom