Kulaumu mfumo dume hakuuondoi mfumo dume. Tatizo ni nyinyi mademu mko weak katika kila nyanja. Kwa kama kuna cha kulaumu ni hiyo weakness yenu iliyo embedded katika DNA.
Hahahah. . . huogopi dearest?
Kulaumu mfumo dume hakuuondoi mfumo dume. Tatizo ni nyinyi mademu mko weak katika kila nyanja. Kwa kama kuna cha kulaumu ni hiyo weakness yenu iliyo embedded katika DNA.
Hapo huoni kama ndipo tatizo lilipo?
Kitu kimoja tu naogopa ni kuishi na mwanamme mwenye akili ndogo,vingine siogopi....mi naenda mwenzio!
Fikiri zaidi,tazama tulikotoka na tulipo then waweza jua tunaelekea wapi....yana mwisho....!
Dah. . . naona umeniamulia.
Ngoja nikatafute mademu wengine tupige story.
Yeah...nenda kakiite kile kidemu chenzako kile...kile kipacha chako.:biggrin:Kinaitwa kinani vile?
Alafu unajua ntakupiga ehhhh?
Hahaha. . . I like that dearest. Mi ningekua na umbo kama lako ningeuka mstari urefuke.
Hivi unajua vitisho navyo ni manyanyaso?
Hahahahaaa I guess you missed it too!
Lol, ngoja niliandika hapa INNOVATOR atakuja kufuta, hapendi nielezee watu walivyo....lol, dearest twende bwana!!
I did!
Mimi naona wakati mwingine wadada wamezidi bana.Leo nilikuwa ofisini akaja dada amevaa jinzi anashindwa hata kukaa.Akikaa pale mbele kitu kinaonekana wazi.Wao wanafikiri sisi tunapenda.Wakikemewa wataacha.Nawapa heko kwa hao wamachingaKilichotushangaza sio tabia ya baadhi ya wanaume wa Kiafrika, bali tabia ya wanawake wa Kitanzania. Waliosema ni halali yake kilichompata kwa sababu alijitafutia balaa hilo
Mimi naona wakati mwingine wadada wamezidi bana.Leo nilikuwa ofisini akaja dada amevaa jinzi anashindwa hata kukaa.Akikaa pale mbele kitu kinaonekana wazi.Wao wanafikiri sisi tunapenda.Wakikemewa wataacha.Nawapa heko kwa hao wamachinga