Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,436
Acha weee. . . na hao wanaowavua ni marafiki zao?
Wanaume wanaopinga kama wewe ni adui za hao wanaume wanaofanya hayo?
Kila mtu anakubali/pinga mambo kuendana na uelewa wake bila kujali jinsia. Kwahiyo sioni sababu ya kutumia misemo kama hiyo, labda kama tutaitumia kwa jinsia zote.
Here is the kicker....usishangae kuna idadi kubwa tu ya wanawake huko Malawi wanaounga mkono udhalilishwaji huo. Usikute wanasema hao wanaopatwa na hizo dhahma wamejitakia wao wenyewe kwa kuvaa hivyo walivyo vaa.
Kuna ukweli mwingi tu katika usemi wa adui wa mwanamke ni mwanamke!
Ngabu naikumbuka sana ile thread ya mvaa skirt ya shumivi. Walikuja wanawake hapa wakasema ni stahili yake na amejitafutia zahma lile kwa sababu ya alivyovaa.
Waafrika hatuna tabia ya kuheshima uhuru wa mtu mwengine. Wakati wote tunataka kufikiri kuwa dunia inazunguka kufuatana na matakwa yetu. Kuna watu walifikia kusema uvaaji wa yule binti unaingilia uhuru wa wanaume katika jamii.....how?
sasa hapa nyie mliopenda hizi picha zina ubaya gani? kama si upuuzi...mbona huyo dada amevaa vizuri tu tena amependeza? hawa wanaomzonga ni majinga ya wapi?
sasa hapa nyie mliopenda hizi picha zina ubaya gani? kama si upuuzi...mbona huyo dada amevaa vizuri tu tena amependeza? hawa wanaomzonga ni majinga ya wapi?
Ikija kwenye udhalilishwaji na unyanyaswaji wa kijinsia dhidi ya wanawake mimi nilitegemea (labda naively) kuwa anagalau wangekuwa na mshikamano katika kupinga na kulaani kwa nguvu zote matendo kama hayo kumbe wapi bana!
Tuna safari ndefu katika kuelewa na kuheshimu uhuru wa mtu mwingine - kwamba uhuru wa mtu A unaishia pale pua ya mtu B inapoanzia.
Majitu yanayoweweseka yaonapo mtu akiwa hajajisitili au kuvaa yatakavyo myenyewe ndiyo hayo yanayobaka vichaa waliouchi mabarabarani na kuwapatia mimba!! Mijitu inajifanya inajua nguo wakati mibabu na mibibi yao miaka 150 tu iliyopita ilikuwa inatembea uchi au ikiwa imejisitili na magamba ya miti pekee!!!Natamani hata ningeijua ile thread ilipo ningeenda kuisaka nikaleta link humu, ili watu wasijifanye kuwashangaa sana hao wa Malawi. Wabongo tuna mentality karibu na hizo (kuna watu walisema wangembaka!!)
Majitu yanayoweweseka yaonapo mtu akiwa hajajisitili au kuvaa yatakavyo myenyewe ndiyo hayo yanayobaka vichaa waliouchi mabarabarani na kuwapatia mimba!! Mijitu inajifanya inajua nguo wakati mibabu na mibibi yao miaka 150 tu iliyopita ilikuwa inatembea uchi au ikiwa imejisitili na magamba ya miti pekee!!!
Majitu yanayoweweseka yaonapo mtu akiwa hajajisitili au kuvaa yatakavyo myenyewe ndiyo hayo yanayobaka vichaa waliouchi mabarabarani na kuwapatia mimba!! Mijitu inajifanya inajua nguo wakati mibabu na mibibi yao miaka 150 tu iliyopita ilikuwa inatembea uchi au ikiwa imejisitili na magamba ya miti pekee!!!
Umekurupuka! Yaani you totally missed the point.
You should have at least tried to ask what I meant and I'd have been more than happy to explain it to you.
But since you didn't, let's just say you are right and I was wrong. How about that missy?:lol:
Ushindi wa mezani SITAKI.
Nwy kikubwa nilichokua napinga ni sentesi yako ya mwisho inayosema kwamba usemi wa 'adui wa mwanamke ni mwanamke' una ukweli mwingi ndani yake. Ingekua hivyo kusingekua na kesi kama hizi za wanaume kudhalilisha na kuonea wanawake, wanawake ndo wangekua wanawavua wanawake wenzao.
Halafu unawasikia wanarejea maadili na utamaduni wa Mwafrika!
Najuta sijui kwa nini sikuzaliwa kule kwa Mswati...kule ni boobies galore 😛oa
Haya sawa. Ila naona kama hatujaelewana vizuri.
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...i-msiingie-uhuru-wetu-wa-kuvaa-tutakavyo.html
Ushahidi kamili. Na cha ksuhangaza hadi wale unaoweza kusema wanaonekana na hulka njema humu, walilalia kuwa ni haki kwa aliyotendewa huyo dada!
Hulka nzuri yao iko kwenye kujifunika.
Binafsi sikuwahi kuchangia hiyo thread ila naona watu wengi waliona kama huyo dada alipata stahiki yake.
Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume wa kiAfrika wanaongoza kwa kuendekeza tamaa zao ndio maana wanasumbuka na vitu kama hivyo. Yani yeye akishamwona mwanamke kavalia suruali/kasketi kake basi akili yake inaenda kwingine, tayari anahisi/fikiria huyo mwanamke kamvalia yeye vile, anajipitisha, anajionyesha, sasa ukute kajichokea na maisha ndo hapo matatizo yanapoanzia.
Mbona wamemvua nguo zote tayari? Au suruali wanazovaa wanawake wa Wamalawi ni Overall?
Sababu ni zile zile. Hao wanaosema hivyo wanafikiria kwamba huyo dada alikua anajionyesha, anajipitisha, anajishebedua, anataka attention hivyo aliyopata inamfaa.Kilichotushangaza sio tabia ya baadhi ya wanaume wa Kiafrika, bali tabia ya wanawake wa Kitanzania. Waliosema ni halali yake kilichompata kwa sababu alijitafutia balaa hilo