muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 14,619
- 12,399
Hongera binti..
Wewe lazima atakuwa ashakuonyesha bikra yake . . , sio bure . .Usimgudge kwmba ameeka miaka 46 wakat majina tu sio sahihi je miaka mtu ataeka sahihi kweli
Bikra ndo nini jamani?Asante kwa maneno yako mazuri nimekuelewa kbsa
acha kabisaHata ndoa atapata ila ya kuigiza
Uko peke yako mama..Jimwae mwae kwenye uzi wako
Uko peke yako mama..Jimwae mwae kwenye uzi wako
Haha....wewe dada Mungu anakuona ujue....hahaaaHayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Nilitaka kushangaa wewe ukosekane kwenye listHata mimi bikra, tafadhali mtuache.
Ha ha ha haaa bikra anatamka matusi yoteAcha matumisi wewe bikra
Usiniambie unalingana na mama watoto wangu hlf bado bikra, hongera km ni hivyo.Nina 29 sasa
Nipe niguse nione kama unayo kweliTupo wenzake
Kwani hiyo avatar ni ww?Hiyo avatar
Heading imenifanya ku-smile.... Thank you for making me smile this good evening.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.
Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.
Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...
Karibuni