Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo

mmmmmmmhhhhhhhhhhhhh eti mpaka tigo, uko vizuriiiiiiiiiiiiiii
 
Huwa nikiskia mwanamke bikra hata hamu ya kumtongoza inaniisha...sipendi purukushani zao
 
Mungu akutete katika vita - maana ni kubwa - usikate tamaa wala usikilize ya watu. Uko kwenye njia sahihi. Barikiwa galatia
 
Danganya nafsi yako sio sisi! Maneno tu yanaashiria uzoefu wa kimahusiano. Ndondoo zinaonyesha ubikra hautolewi kwa kufanya ngono pekee Bali kwa vitu vingi mfano kubeba mizigo mizito, kupanua miguu sana, kuweka pamba au vizuia damu ya hedhi. Na vingine wengine wataongezea
 
Hongera dada ila nakuhurumia hayo mafuriko ya Piemu. Mabazazi watajivika ngozi ya kondoo hapa kila mtu atajifanya muoaji wanaume wa hum ndani kwani wana maana sasa..
Hata ndoa atapata ila ya kuigiza
 
Kwa umri wake anaruhusiwa kuolewa na hakuna me anaeza mkataa kisa anasoma huku akiwa better kama usemavyo.

Kwa wamuogopao Mungu ni rahisi kufanya uzinzi kuliko kusema UWONGO

mh statement yako ya mwisho imenitisha dada yangu
 
Umejuajee.
Hujashtuka sijawachokoza muda mrefu?
Tatizo mnaninunia wakati mi nawatania tu sina nia mbaya nawapenda kwanza.
Naona umefulia sikuhizi Bando linazingua unapatikana kwa machale au ndo unaingiaga kivingine teh make idadi ya member kila siku inaongezeka

Cc Smart911
 
kazi unayo...narudia tena bikra hawajitangazi..ibaki siri yako na muumba wakoo..bikra tupo wengi sana ila kimya sababu sio vema kimaadili...
tushaona tangazo lakoo!
wapokee pm dada jua linszama hilo
angalia vizuri thread zako..kwanza kabisa uloanza kutafuta mume...baada ya few months unakuja na thread ameniacha bila sababu..tena mwanaume ulompata humuhumu jf..
na hili pia tangazoo shoga baada ya kuachwa.
watakuja usijali

kwanini hutaki kuamini kama yeye ni bikra? ukweli wa mwili wake anaujua mwenyewe!! mushauri amtunzie tu mmewe
 
Naona umefulia sikuhizi Bando linazingua unapatikana kwa machale au ndo unaingiaga kivingine teh make idadi ya member kila siku inaongezeka

Cc Smart911
Hamna. Nipo tu mbona sema.
Nikiwa sina bando natumiaga 0.freebasics.com
Hapo kuna website kibao unaweza kubrowrse bureee. Na JF ikiwemo.

Kwa hio suala la bundle sio issue.
Some time napunguza kuingia ingia Jf nna vikao vya arusi naoa mwezi wa tisa.
 
Shake well before use ...Ukipata mwanaume haja fanya hicho kitu mpaka anakuoa bac na yeye kajitunza mpaka 40yrs
 
Back
Top Bottom