We tupo wengi.Uko peke yako mama..Jimwae mwae kwenye uzi wako
😱😱😱Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Ohoooo!!!Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
umpate atakayekuamini maana sijui kwa nini hawaaminigi kama its possible.Nina 29 sasa
Asante kwa maneno yako mazuri nimekuelewa kbsaUkiwa na hofu na Mungu na kama ulipata malezi mema utajitunza tu kwa ajili ya kupata radhi za Mungu.
Usijitunze kwa ajili ya mume..wanaume hawana maana..ukiwa bikra atakuita gogo hujui kitu ukiwa mtundu atakuita malaya.
Nimecheka sana mkuu.Uko peke yako mama..Jimwae mwae kwenye uzi wako
Kumbe siku hizi bikra ni kama ngozi ya nyoka... unaire-new kwa kuvua gamba
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Teh teh..Sawa Jane the virginWe tupo wengi.