Wanawake mabikra tukutane hapa

Napata hisia kuwa hili ni tangazo la biashara, mtu kutafuta mtongozo kiaina tu. Wenye bikra halisi hawawezi kuja kujitatangaza online wala mtaani. Bado wana soni ya kutosha na hata kuzungumzia mambo hayo hadharani hawafanyi hivyo. Kumbe basi kwa wale ambao bado wapo single upande wa Me na ungependa kupanda mke via JF then hii hapa ni fursa, itumieni.
galatia , kuwa mtulivu nadhani hadi muda ama kufikia utakuwa na kazi kubwa ya kufanya sorting ya application ambazo zitakuwa zimejaa kwenye PM yako. Nikutakie kila la kheri katika lengo lako kuu ambalo umeamua kulificha nyuma ya pazia, lakini wengine kwa uzoefu tunaona hadi huko.

Kwa wale mtakao fanikiwa kuonana na huyu mrembo rudisheni feedback kama kweli kuna hiyo kitu ama ni K/Koo tu hapo.
 
mkuu umemaliza
 
Hili ni jukwaa zuri la kuchuja wanawake wasio na mvuto...bikra mpaka +18 lazima utakuwa unatisha tu... haya njooni zaidi tuwatambue
 
Me mpaka leo najutia coz bikira yangu ulitoka kwa kupanda panda miti ovyo na baiskel bt mpaka leo naliaga tu kwa kupoteza
 
Kupata UONGO Mwingine Kama huu andika GALATIA Kwa herufi kubwa kisha Tuma kwenda 15571
 
Nahisi ni bikra ya misk na shabu
Anawadanganya watoto wa primary...Halafu jiulize kwa nini ana hasira hivyo..Mana Naona anagombana Na kila anayemchallenge.Sasa nimeamini kweli Ana Bikira mana nasikia Ni wakali Na hawashauriki
 
Bikra haitangazwi huyu atakuwa anatudolishia hajui kuwa na sisi tulikuwa hivyo kabla ya kuwa hivi.
Ila wakumuhurumia tu maana anapitwa na mengi kwa kung'ang'ania kuitwa bikra.
Ana lake jambo.Atakuja teguliwa nyonga kwa kujifanyisha bikra. Mwanaume anae jielewa ahangaikii bikra kwa sasa
 
Back
Top Bottom