Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Mwanao hajambo lakini?
 
82cf2f0b2b4b124e8e7428994b995381.jpg
 
Zawadi yako ikaribu bado kidogo usikate tamaa...
 
Labda ubikra huo wa kwenye picha za ki Nigeria
 
Umeamua kufurahisha wana jf
 
Hongera binti kigori.........ila usije kuwa kama dodoki kuharibikia ukubwani
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Mabikra wa mbele au nyuma??
 
Back
Top Bottom