mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Naona kuna akina dada wanatokwa na mapovu hapa.
Bikra adimu kama kitimoto uarabuni








Bikra adimu kama kitimoto uarabuni


















Na anaejitunza kwa hufu usemayo hawezi tangazaUkiwa na hofu na Mungu na kama ulipata malezi mema utajitunza tu kwa ajili ya kupata radhi za Mungu.
Usijitunze kwa ajili ya mume..wanaume hawana maana..ukiwa bikra atakuita gogo hujui kitu ukiwa mtundu atakuita malaya.
Me nnayo OG ila km baiskel inatoa basi sina 🙄
kwan kuna OG na FAKEUliwahi kuishi zanzibar?Nina 29 sasa
Unapitwa tu bila hoja hongela sana
Hahahahah huku watu wapo Kwa ajili ya kuchangamsha jamvi maneno yao usichukulie serious,hivi na ww una amini kweli ni bikra?kazi unayo...narudia tena bikra hawajitangazi..ibaki siri yako na muumba wakoo..bikra tupo wengi sana ila kimya sababu sio vema kimaadili...
tushaona tangazo lakoo!
wapokee pm dada jua linszama hilo![]()
angalia vizuri thread zako..kwanza kabisa uloanza kutafuta mume...baada ya few months unakuja na thread ameniacha bila sababu..tena mwanaume ulompata humuhumu jf..
na hili pia tangazoo shoga baada ya kuachwa.
watakuja usijali
Kabisa bikra espy
Asa ndugu 29 hajaolewa ana kasolo gani na kigezo chetu cha kwanza ni uaminifu?Baada ya kupoteza yako unamdanganya mwenzako
Hukukutana na wenye voko za mitendo we mwenyewe ungeunga wayaKama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.
Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.
Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...
Karibuni
Uzito wake upo kwa Mungu huko kila mtu ana kadi yake hamna atakae jisikia vibaya apoHahahahahah hapa unatafuta lawama Kwa wanawake wenzio,kuna ambae akifikiria hata ya tako Hana halafu ww unamringishia bikra,ni hatari saana by the way ngoja tuwasilize
Asante sana.Hahaha![]()
![]()
![]()
Kabisa bikra espy
Asante.Unapitwa tu bila hoja hongela sana
Hata mimi bikra, tafadhali mtuache.Miaka 29 bado? Hata polisi alianzia ukruta. espy, mshauri mwenzenu aonje hiyo kitu kabla hajaenda kwenye ndoa.Aende akiwa amepata za radha tofauti kuepusha matusi baadae