Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Hongera sana Galatia! Asikudanganye MTU, thamani ya bikira ni kubwa sana! Mungu atakuzawadia mume mwema aliyejitunza kama wewe!
Utakuja kufurahia sana tendo LA ndoa kwenye ndoa yako kuliko hao walioruka ruka hapa na pale!
Mungu akubariki na akulinde na usiteteleke!
Hata umri ukisogea usiogope, kwa kuwa umemheshimu Mungu, kwa wakati wake atalupatia mume mzuri sana at a kayak unity dish a siku zote za maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Rubiikimimi[emoji85]
 
Lipia tangazo tu!
Hadi ujue JF bado uwe BIKRA?
Be serious please,bikra ya wapi masikioni au puani??
Nchi hii ina wenye vituko sana!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu.. kwakweli Hilo Ni tangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom