Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

miaka 29!! kaka na bikra yako wala siitaki ten
 
Leah haya mambo huwa hayawekwi wazi, ingekuwa vyema ukaficha mpaka utakapoolewa mumeo ajishuhudie mwenyewe, hapa umeshajitangazia vita watakuwinda kwa mbinu zote..vinginevyo nikupongeze kwa kujitunza
 
huu uzi upo peke yako dada hongera sana..

labda mimi bikira wa kiume nikupe company.. tujimwaye mwaya mabikira tupu tupeane na namba na kutembeleana
Hahahah . Unataka ukamtooe, hahaha
 
Hongera sana dada. Jitunze hivyo hivyo. Mwombe Mungu akupatie mume atakayeheshimu nidhamu yako ya kujitunza na sio kukubeza kama hawa wa huku Jf. Asikudanganye mtu! Mwanaume yeyote anayejua kupenda kiukweli ATAKUHESHIMU SANA atakapokuoa akukute ni bikra.
 
Hayo yoote uliyoongea haya husiani na nilichokiandika, maneno kama yako nilishaambiwa sana lkn sikubabaika na bado sitababaika najua ninacho kifanya. na uzuri mwenyewe eggyjay siyo Mungu na wala sijitunza ili nikufurahishe.
Nimefanya hivyo kumuheshimu Mungu na si vinginevyo , huko pm unaposema sina mpango napo ...mwisho nikuhakikishie aliyenisimamia kujitunza mpaka Leo ndiye atakaye nisimamia mpaka ndoa.
kazi unayo...narudia tena bikra hawajitangazi..ibaki siri yako na muumba wakoo..bikra tupo wengi sana ila kimya sababu sio vema kimaadili...
tushaona tangazo lakoo!
wapokee pm dada jua linszama hilo
angalia vizuri thread zako..kwanza kabisa uloanza kutafuta mume...baada ya few months unakuja na thread ameniacha bila sababu..tena mwanaume ulompata humuhumu jf..
na hili pia tangazoo shoga baada ya kuachwa.
watakuja usijali
 
Back
Top Bottom