Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Kisaikolojia huyu hayuko sawa hebu wanaume wa jamii forum mshughulikieni hadi mumtatue marinda ajue hapa sio facebook pa kuleta ujinga na vi threads vya ajabu watu tupo kutoa ushauri sio kufanya michezo ya kitoto wapeleke insta au fb.
Upo kidunia zaidi
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Mmmmh Galatia how old are u?
 
bwawa unalo we na ukoo wako bombadia mkubwa wewe..bikra tupo kimya we kutwa kujitangaza.si useme tu unatafuta mume umeachika..unaaibisha
wanawake wenye stara zao.
umri wenyewe ushaenda vijana hawataki zenye makunyanzi utaolewa na mjane wa miaka hamsini labda mxiuuu.

tumia lugha ya stara nkujibu kwa stara...kenge wa bluu wewe.
Tanuru la moto linakuhusu kwa kauli zako kuiona mbingu ni ndoto !

Take care akupigae shavu la kushoto mgeuzie la kuume!
 
Kama utakuwa bikra wewe kweli ntaaamini hakuna mwanamke asiye bikra duniani..keep my words
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Karibuni
Aisee! Umejitahidi sana. Hongera
 
bwawa unalo we na ukoo wako bombadia mkubwa wewe..bikra tupo kimya we kutwa kujitangaza.si useme tu unatafuta mume umeachika..unaaibisha
wanawake wenye stara zao.
umri wenyewe ushaenda vijana hawataki zenye makunyanzi utaolewa na mjane wa miaka hamsini labda mxiuuu.

tumia lugha ya stara nkujibu kwa stara...kenge wa bluu wewe.
kila mtu ana staili yake ya kujitangaza kwa mfano hapa mimi naona umejitangaza
 
Back
Top Bottom