Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

Dada zetu wa vijijini ni changamoto Sana. Ulimbukeni,umalaya vyote vimejaa huko.Tena wanaanza shule ya msingi baadae shule za sekondari kata. Wanatafunwa wangali wadogo kwa njaa na dhiki. Hawafundishwi elimu jamii,ukioa unaoa matatizo,hawajali Kama ana mtoto anayehitaji malezi ya baba na mama.

Pole mkuu.
 
Mleta mada angekua kaka yako ungempa huu ushauri?

NB: Jibu kwa kutumia akili na utashi sio mihemko.
Kama ni mkristo ndivo ivyo anatakiwa kufanya asamehe akae na wakubwa waongeee na mkewe wajue Kama wataendelea kwa Aman au inakuwaje,ikumbukwe ukishaoa umeoa na ukiolewa umeolewa tofauti na hapo afanye tu vyovyote ila atakuwa kinyume na biblia,Kama n Muslim cjui kwa upande huo.
 
Hapo kwenye bold, je kama mkristu, biblia kwenye matayo 5:32 inasemaje kuhusu hatima ya ndoa kama mwenza wako akitoka nje?

Embu soma hapa maana najua hata bible wenda huna Mathayo 5:32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
 
Sawa upo sahihi lakin emu fikiria we hujawahi kumkosea mkeo???Kama mtu kakosea na kaomba msamaha means katambua kosa lake ana haki ya kupewa nafasi nyingine pengine kabadilika na atajuaje Kama kabadilika asipomsamehe ili kumsoma tabia yake
 
Tafuta mke uoe ili uepuke kumfikiria sana huyo MSHENZI maana mwisho wake asije akarudi...lakini unatakiwa usikurupuke kwenye huyo mke mpya.
 
Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.

Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Denis unataka ushauri wa nini tena? Kitendo cha mke wako kulala na mwanaume mwingne tena kwenye kitanda chako ujue kuwa ana uwezo wa kufanya chochote cha kukudhuru ww.

Mungu kakuonesha mapema, epukana na huyo mwanamke. Acha aishie zake
 
Sawa upo sahihi lakin emu fikiria we hujawahi kumkosea mkeo???Kama mtu kakosea na kaomba msamaha means katambua kosa lake ana haki ya kupewa nafasi nyingine pengine kabadilika na atajuaje Kama kabadilika asipomsamehe ili kumsoma tabia yake
Na kama anapretend huoni itakuwa ni maumivu juu ya maumivu?. Bora jamaa ashike ustarabu wake maisha yana mengi mazuri ya kufanya na asing'ang'anie huo utopolo.
 
Kama ni mkristo ndivo ivyo anatakiwa kufanya asamehe akae na wakubwa waongeee na mkewe wajue Kama wataendelea kwa Aman au inakuwaje,ikumbukwe ukishaoa umeoa na ukiolewa umeolewa tofauti na hapo afanye tu vyovyote ila atakuwa kinyume na biblia,Kama n Muslim cjui kwa upande huo.

Sio kila linalosemwa na hizi imani zetu ni lazima lifanyike au ni muhimu lifanyike ikumbukwe hiyo ni misingi iliyowekwa na uongozi wa imani husika. Ni ujinga wa kiwango cha lami una elimu ya kutambua mema na mabaya alafu bado kuna baadhi ya mambo utayaruhusu yakuendeshe na ni hatarishi kwenye uhai wako.

Hicho ulichokisema hapo ni kutaka mleta mada afie ndoa yake ambayo kimsingi hiyo sio ndoa tena ni uwanja wa vita kwahiyo tumia zaidi uzito wa jambo kumshauri zaidi ya hayo maagano tunayohubiriwa kila leo kwenye imani zetu.

Kizazi cha nyuma kimeumizwa sana na haya maandiko kwa nnavyoona mimi elimu ndio ilikuwa sababu kubwa ya kufanya watu wakomae na matatizo kama haya wakiamini kuwa yaliyoandikwa kwenye maandiko ni sahihi zaidi kwa kushindwa kuchuja kutokana na uzito wa jambo husika.
 
Biblia imetoa ruhusa kumuacha mkeo ikiwa ni kwa kosa la uzinzi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom