chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,696
- 22,728
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..
Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.
Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.
Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.
Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.
Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.
SOMO KWA WANAWAKE
1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.
2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa
3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu
4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu
Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!