Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

Hela sio tatizo mdgo wangu, wengine mbna hela ipo sana tu (Nafkiri hujaelewa mada ya mshkaj hapo juu)... tatizo unaweza jiona una date omba omba, tabia na kauli zake zinakueleza yeye (huyo mwanamke) ni mtu wa aina gan. Ukicheck mtu ur a man of standards. You dig my point ???

kwanza mimi sio mdogo wako, na point nimeielewa, tatizo naona wanaume wengi siku hizi wameingia kwenye hali ya kulalamika sana yaani mwanaumeinatakiwa uwe ngangari kama demu anapiga mizinga isiyo ya lazima ni juu yako kuamua au kuendelea kuwa naye uendelee kupigwa mizinga kama unaimudu kama hauimuda pita hivi,
sasa kuja kulalamika huku ndio suluhisho la matatizo maana dunia inaenda ikibadilika wanawake wa siku hizi sio kama wazamani mwanamke wa siku hizi hata kama ni wife material hataki kuwa na mtu mchovu hata kama atakuwa na uwezo na kazi nzuri atata mtu mweye kuweza kuyaendehs maisha. na hii yte ialetwa na mfumo dume tuliowekewa misingi na vizazi vilivyopita kuwa mwanaume ndio anayestahili kuwanya mambo kwenye familia au kuanzia kwa demu wake sasa na hiki kizazi cha mwanaume heshima pesa ndio balaa unategemea nini.
hoja yangu ya msingi ni kama huwezi kummudu demu anayekupiga mizinga pita hivi wenzio watammiliki na watampa hizo vocha na mahitaji mengine na usije hapa kulalamoka.
kwaheri
 
Hahahaha hapo kwenye red, ukubwa sio umri tu. Anyway huo ni mtazamo wako siwez lazmisha ufikiri kama mm.
 
hakuna kitu kizuri kama kuwa na mwanume ambaye anajua wajibu wake..........................

Hivi DEMBA Hiyo avatar yako ndiyo jinsi ulivyo au,nikikuangalia lazima huku chini kudinde tu.Love u babi.
 
Mkuu chakii inabidi sasa hawa wadada wajue kuwa mapenzi sio saccoss wala vikoba. Wakilijua hilo basi hakutakuwa na mambo ya kupigana mizinga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom