Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,666
22,674
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..

Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.

Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.

Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.

Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.

Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.

SOMO KWA WANAWAKE

1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.

2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa

3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu

4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu

Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!
 
Ni kweli kabisa.... ila anayeanza na list ya vitu atakuwa ana duka huyo, hana shida na ndoa! wenye shida na ndoa tunaelewa cha kufanya!
Isitoshe inategemea na mwanaume yupoje! Kama naye ni full mishauzi lazime apigwe tuu! Kama ni mume wa mtu lazima shopping list itamhusu!
 
pesa imekuwa penzi kwa kiasi kikubwa, japo si kwa wote ila kwa wengi
 
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..

Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.

Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.

Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.

Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.

Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.

SOMO KWA WANAWAKE

1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.

2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa

3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu

4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu

Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!
wapi pretty huu ni uzi wa mia tano mmu mnapondwa tu..
 
Hapo akikufanyia hivyo shukuru kwa sababu kakupigia alarm ya ku "Heat and run"
Hiyo ni business partnership hutakiwi ku settle permanently hapo
 
Mwanaume unayewazia vijisenti hivyo ni balaa kabisa,kuretac 4000/= ndio ikuwazishe namna hiyo huwezi kuhudumia katumie sabuni baba pia inasaidia kupunguza matumizi maana sabuni utanunua hata za kigoma za mia,ptuuuu unalalama hivi ukioa ukajaliwa watoto utalipa ada wewe!!! chakii
 
Last edited by a moderator:

sasa nyie mnashindwa kutufikisha katika hatua hizo za kujenga familia kwa mizinga yenu isiyokuwa na maana,..

''Kumbuka siku njema huonekana alfajiri''
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu kizuri kama kuwa na mwanume ambaye anajua wajibu wake..........................
 
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!

Usije kufanya mistake ya KUOA based on FINANCIAL ANALYSIS!!!!!! Utumiaaaaaaaaa

Oa mtu ambae you will marry over and over! Sasa hivi wewe bado junky NJAA IMEKUBANAndo maana hata tu few chenchi twa saluni unatuhesabu na tunakuuma! But with age utapata pesa chafuuu thn kama ulioa mke out of financial security reasons MTU HARIDHIKA NAE woga tu ndo ulipelekea uoe utamfanyia mambo mabaya sanaaa mkeo.

Jifunze kwa bwana Machache. Ndo maana nawaasa wanaume MSIOGOPE UCHUMI WENU NA FINANCIAL STATUS! Kama unaona itaimpact maamuzi yako ya kuoa basi CHELEWA KUOA hadi uzikamate. Otherwise mtu umeihi nae 20 yrs, ila ukimtizama roho yako inaktaa kabisaaa! Jeuri ya MIFWEZAAAA!
 
Mleta uzi kasema matumizi yasiyo lazima ni sumu ya mausiano kuritach sio mbaya ni usafi kwani mwanamke usafi usije ukastink
 
Mwanaume unayewazia vijisenti hivyo ni balaa kabisa,kuretac 4000/= ndio ikuwazishe namna hiyo huwezi kuhudumia katumie sabuni baba pia inasaidia kupunguza matumizi maana sabuni utanunua hata za kigoma za mia,ptuuuu unalalama hivi ukioa ukajaliwa watoto utalipa ada wewe!!! chakii

alafu anafikiri kwenda salon mpaka uwe na tukio, no money no honey.!
 
Last edited by a moderator:
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom