Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

Ni kweli kabisa.... ila
anayeanza na list ya vitu atakuwa ana duka huyo, hana shida na ndoa!
wenye shida na ndoa tunaelewa cha kufanya!
Isitoshe inategemea na mwanaume yupoje! Kama naye ni full mishauzi
lazime apigwe tuu! Kama ni mume wa mtu lazima shopping list
itamhusu!

Bahati imenidondokea,
Kumbe ubashida na ndoa!!?
Ngoja nikufuate PM
 
Labda mtoa mada....mwisho uulize waliochangia hapa mpaka wanasema no money no honey...wana umri gani....wameolewa....wanamegwa tu na kuchezewa...na kuachwa na mistress kibao...! research hata hapa unaweza kuifanya kiaina....mimi naendelea.......ila wanawake wa KIBONGO wameshidwa kuvumilia huu umaskini tulio nao....japo si wote wengine wanafanya kazi na kupata kipato chao...lkn wengine macho juu wakitafuta wanaume wa kuwaondolea umaskini.......ni hatari wanawake mbadilike kama umezaliwa maskini KUBALI alafu PAMBANA NAO
 
kwani wewe haikuhusu mkuu,..

Wenzio wanatupenda hivyo hivyo na wametuoaa na usipomuomba pesa ni kesi kwanin hujamuomba
MWANAUME MAJUKUMU BANA
Na nyie msiwe mnatuomba papuchi mpaka mtuoe kama hamtaki gharamaa
 
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..

Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.

Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.

Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.

Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.

Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.

SOMO KWA WANAWAKE

1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.

2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa

3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu

4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu


Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!

A man is a derived demand. Period.
 
Wenzio wanatupenda hivyo hivyo na wametuoaa na usipomuomba pesa ni kesi kwanin hujamuomba
MWANAUME MAJUKUMU BANA
Na nyie msiwe mnatuomba papuchi mpaka mtuoe kama hamtaki gharamaa

Mmmmh! c mchezo,nimeipenda hii White girl.
 
na ndio maana ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu watu kama ww wanadhan mwenye wajibu wa kulinda ndoa ni mwanamke tu. reasoning capacity yako ni ndogo sana

nakushangaa sana na Judgement yako,..
 
Mmmmh! c mchezo,nimeipenda hii White girl.

Umeona eeee kazi rahis sana hiyo na ni idea nzuri sana maana mkiombwa hela kidogo mnavimbaa lakin mnasahau kua nyie tukiwapa papuchi mnakesheapo na kutubinua binua unadhani kazi rahis eee
 
Umeona eeee kazi rahis sana hiyo na ni idea nzuri sana maana mkiombwa hela kidogo mnavimbaa lakin mnasahau kua nyie tukiwapa papuchi mnakesheapo na kutubinua binua unadhani kazi rahis eee

bila shaka unaiuza kama bidhaa ati,..
 
Umeona eeee kazi rahis sana hiyo na ni idea nzuri sana maana mkiombwa hela kidogo mnavimbaa lakin mnasahau kua nyie tukiwapa papuchi mnakesheapo na kutubinua binua unadhani kazi rahis eee

Hahaaaaaaaa et kuwabinua binua teh teh teh, jaman c raha kwa wote hapo! White g inaonesha hupendi kabisa kuambiwa geuka hivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom