foshizzle
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 374
- 151
Ukiona hivyo ujue wewe ndio kimbilio lake. Kuna mambo ya msingi inabidi umsaidie kama kutengeneza nywele na vitu vidogo vidogo kama hivyo.
Wewe ndo mpenzi wake na yeye hana hela unataka afanyeje?. kama unacho msaidie kama huna mwambie. Mtaani kugumu. Madada wanakosa hata shilling ya kununulia pedi.
Mi ninao waogopa ni wale wa bia chips nyama choma starehe mara bonanza sijui tour party kujichubua nk.
Kama nimempenda hela ya salon, chakula ntampa.