stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Kwhy nahapa mjinga nani kama si wewe unamwaminije mtu hadi kwenda ngono zembe?hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
