Wanawake kuweni waaminifu

Wanawake kuweni waaminifu

Sijui nokia83 akiona hizi comments atanioa kweli daaa
 
huu ni uchochezi na muendelezo wa mfumo dume,it take two to TANGO,why upande wa pili huuelezei?wale wanaumme nao si wameoua au wana girl friends?uzuri wa hoja in vema ikawa ina side zote mbili za coin.
 
Huyo pumbavu ndie aliyekuzaa na kukulea hata ukapata akili yankumtukana leo.
Akuuuu , Mama yangu nimama Wa enzi hizoooooo when women were still women , wanawake wanguvu ambao Wanaheshimika 100% .

Ndo uje ulinganishe wasiku izi kwakisingizio cha mwanamke ndo alonizaa ??? Teheee pole !!!.wavaaa uchi ??? Wasokua nakitu cha kuoffer zaidi ya Pussy ??? watoa mimba ??? Mwanamke mmoja wanaume saba ??? Naunajiona sawa ???. Mamayoyooooooooo

Mama yangu popote pale ulipo muda huuu nakupenda sana mama yangu nakupenda mnooo weee nimama unayejua maana ya mama.
 
huu ni uchochezi na muendelezo wa mfumo dume,it take two to TANGO,why upande wa pili huuelezei?wale wanaumme nao si wameoua au wana girl friends?uzuri wa hoja in vema ikawa ina side zote mbili za coin.
Wanaume wengi wa mkoa wangu walikuja na wake zao kabisa. Wanne hawajaja nao. Ila nimekodisha lodge ya wajumbe wangu. Sawa mabechelor Mungu awabariki nimekanao mpaka sasa very busy with their vision. Sawa washenzi ndio wameniudhi. Tena wenyeviti wa wilaya. Rabith sexers.
 
sasa hutaki waliwe...mi mwenyewe nishawasaidia sana jamaa zangu wake zao ila nimeacha yapata mwaka sasa maana hali ni mbaya wanakuja race kama upepo vile
Ukiacha ni zamu yako. Masna shetani haishi oande moja ya coin. Ni pande zote. Tena wakwako apigwe na kichaa pumbavu zako.
 
Ndyo uzur wa kuwa mwana-ccm,ukienda kwenye vkao vya chama unapewa bingo za kutosha na mwanamke mwenye deera la chama
Pia Mkuu,jifunze jambo hili...,siasa ni kama music;daima siasa huambatana na mambo mabaya kama vile ushoga,rushwa,uuzaji na ununuzi wa watu,upotoshaji (propaganda) pamoja na utumiaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya!
 
Wanaume wengi wanasaliti ndoa zao kuliko wanawake
Kuna tofauti kati ya uchepukaji wa mwanaume na mwanamke kwa afya ya ndoa husika !

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mumewe."
Hayo ndiyo maisha yalivyo.
 
Huwa inauma kwa wote tu mkuu,,,, usifikiri nyie pekee yenu
Kuna tofauti ya mwanaume na mwanamke kwenye uchepukaji kwa ajili ya afya ya ndoa husika !

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mumewe."
Hayo ndiyo maisha yalivyo.
 
Akuuuu , Mama yangu nimama Wa enzi hizoooooo when women were still women , wanawake wanguvu ambao Wanaheshimika 100% .

Ndo uje ulinganishe wasiku izi kwakisingizio cha mwanamke ndo alonizaa ??? Teheee pole !!!.wavaaa uchi ??? Wasokua nakitu cha kuoffer zaidi ya Pussy ??? watoa mimba ??? Mwanamke mmoja wanaume saba ??? Naunajiona sawa ???. Mamayoyooooooooo

Mama yangu popote pale ulipo muda huuu nakupenda sana mama yangu nakupenda mnooo weee nimama unayejua maana ya mama.
Ndio ndio
 
Hahahaaa rushwa mkuu ilizibitiwa. Ila hili sasa na wake za watu kuchepuka ni shidaaa. Ila wanaume Mara wake zenu wawapo na safari mchape jembe kwa siku tatu mfukulizo kuamkia safari. Utapunguza
 
Kweli man ,nmeshangaaa anajisahaulisha Tabia za wanawake Waldo nawale wazaman ETI KWA MWAMVULI WA MWANAMKE NDO ALONIZAA.

ndio alinizaa ,,je analingana nahuyu alotoa mimba lukuki ??? Mvaa uchi ??.
Waliotuzaa walikua wanawake bhana sio hili balaa la sasa hv eti na wao wanajiita wanawake....
 
Back
Top Bottom