Wanawake kuweni waaminifu

Wanawake kuweni waaminifu

Sema nini mi mwanaume na sisi tumezidi sana na ndiyo maana kizazi hiki wanawake hawana uvumilivu wanatujibu tu kama mbwai na iwe mbwai WANAWAKE WENGI HUFANYA USALITI WAKIWA NA SABABU NA MOST REASON HUWA KISASI KUTOKANA NA MATENDO YETU WABABA
 
Mwanamke kiumbe cha ajabu sana ila hamna namna tutaendelea kuwaacha tu maana KE wengi sikuhizi ni kama disposable materials.

Ukisema ujenge kibanda tu lazma uishie kulia.

Unakuta demu anachukia eti usishike simu yake, kumbe anajua analolifanya. Ukimkazia anakurudishia kesi eti oh tatizo humuamini mara unaboa kutaka kujua mawasiliano yake tu,mar oh unamnyima uhuru. Hivi uhuru gani mnaotaka mpewe uhuru wa kucheat ama?

What i came to realize being real/faithful/truthful these days ni jambo adimu sana katika mahusiano. Watu wanaona kucheat ndio kama fashion, uwe na Boyfriend umchanganye na madanga yako bila kujali kuna Ukimwi.
 
Ni mke halali wa ndoa full vyeti,
Ila umefanya kosa pia kumuweka mbali na wewe kisa masomo kwa sababu mwanamke kuruka mitego ya wanaume kama hana mlinzi karibu ni mtihani mkubwa sana.

Pia ujilaumu kwa hilo...
 
Kwa siku hizi mbili ya 09-11/12/2017, tupo Dodoma kwenye mkutano, kwenye kundi langu (la mkoa wangu) nipo na wanawake sita ambao ni wake za watu wote kumi wana ndoa za watu.

Nimeshtushwa kuwaona wamefika Dodoma na kuolewa hovyo tena na zaidi ya waume watatu kila mmoja. Wanaliwa kama ugali. Masikini ya Mungu nawaona wanawake wakilegezwa hovyo na vijana.

Ndani ya kundi langu nimechunguza wanaume wote kila mmoja alimuagiza mkewe aje na gari lingine ila ajitulize kwake. Na kila mmoja alinipa taarifa kuwa mke wangu anakuja so room zao ziwe na acomodation za kutosha.

Wanawake wale wanaliwa na watu wasiowajua. Yaani tukitoka kwenye mkutano wameshapatana na mtu so hata gari yetu hawapandi tena. Wanawake hawana tena hekima. Wanawake mna nini?

mkutano wa nini mkuu
 
Huwa nashangaa JF mnapobishana wake sijui waume wakati kila Nyumba na utaratibu wake.

Kila nyumba na utaratibu wake wengine hamjaolewa wala kuoa ila sasa... kila nyumba na taratibu zake tutabishana hapa ila mambo ya Nyumba yangu nayajua mimi na mke wangu..

Akinicheat mimi nitajua cha kumfanya nikimcheat akinikamata ataamua afanye nini.
 
Back
Top Bottom