Wanawake kuweni waaminifu

Wanawake kuweni waaminifu

Usimwamini wala kumwambia unamuamini mwanamke hata kwa utani.

Akishaona umemuamini bila kufuatilia lolote, atafanya atakalo. Pia hata ukimfuatilia itakuwa stress tupu.
 
Mwanaume cm ya mkeo isiwe take. Yake kwa muda usiojulikana tu. SAA yeyote unakaa naye. Na asijue uliko milele wala SAA ya kuingia nyumbani. Na akiwa mwanasiasa temananaye uoe upya. Very useless kudadeki
 
Kwa siku hizi mbili ya 09-11/12/2017, tupo Dodoma kwenye mkutano, kwenye kundi langu (la mkoa wangu) nipo na wanawake sita ambao ni wake za watu wote kumi wana ndoa za watu.

Nimeshtushwa kuwaona wamefika Dodoma na kuolewa hovyo tena na zaidi ya waume watatu kila mmoja. Wanaliwa kama ugali. Masikini ya Mungu nawaona wanawake wakilegezwa hovyo na vijana.

Ndani ya kundi langu nimechunguza wanaume wote kila mmoja alimuagiza mkewe aje na gari lingine ila ajitulize kwake. Na kila mmoja alinipa taarifa kuwa mke wangu anakuja so room zao ziwe na acomodation za kutosha.

Wanawake wale wanaliwa na watu wasiowajua. Yaani tukitoka kwenye mkutano wameshapatana na mtu so hata gari yetu hawapandi tena. Wanawake hawana tena hekima. Wanawake mna nini?
Du amakweli
 
Kwa hasira nimebidi nisisafiri na gari moja na hawa watu Leo. Naona kinyaa, nimewakabidhi dereva wafike salama Mimi wacha nienda na gari private.
 
Shida atanissliti. Ila nikijua hata mkojo wake sivuki. Yaani hana tofauti na mizogo.
 
Back
Top Bottom