wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Sio wotePole sana mkuu.....wanawake hawaaminiki....
Sio wotePole sana mkuu.....wanawake hawaaminiki....
Acha kutukana wanawake ovyo,kwani mama yako sio mwanamke?ukikosewa na mmoja haina maana uingize wote,Tunaakili tunajielewa sana,Tafuta chanzo uone kama hujajipiga makofi,Asilimi 99 wanaume ndio usababisha wanawake kubadilika,hasa katika mahusianoUkitaka kuichukia dunia anza kufuatilia mambo ya wanawake % kubwa ni hovyo sio wake za watu sio single mama sio wanafunzi yaani akiwa mwanamke kwisha akili
Hao wanaojifanya swala tano ni WAHUNI SANA wa kisirisiri tena angalia si bure ameshafanywa hata kinyume na maumbile.
Hatari sana hao.
kwa nn akubali akijua kuwa yeye ni mke wa mtuKama sio mme wa mtu basi ni mpenzi wa mtu sasa kwa mke wa mtu unafata nini?
Dah unaonekana ni mmoja wa wanawake waaminifu hongera sana, kama una mdogo wako naomba nipatie.Sio wote
PoleDah unaonekana ni mmoja wa wanawake waaminifu hongera sana, kama una mdogo wako naomba nipatie.
Inaashiria nini hii pole?Pole
Sina mdogo wakike,Alafu nikuweke sawa Mimi nikiwa mwaminifu haimaanishi na mdogo wangu atakuwa mwaminifu,kila mtu natabia zake na jinsi mtu anavyojichukuliaInaashiria nini hii pole?
Kama ingekuwa singles sins tatizo. Wake wa ndoa. Ushetani huo tu. One woman no more.swali langu ni moja tu hawa wanawake ni shoga kwa hiyo wanasagana?,kama sio shoga wanaenda kujamiana na wanaume iweje uwalaumu wao tu,au shida yao ni kukubalia?,je mkinyimwa mutajisikiaje isitoshe munawaanza wenyewe ngoja mpewe.
Nadhani shemeji yetu ni mmoja ya watumishi wa majeshi yetu mkuu poleeee ile vp wwe huna makando kandoMkuu ye yupo kozi sehemu flani,kozi ambayo itamchukuwa miezi minne.Sasa nikaanza kuona mabadiliko ya zarau nyingi.niliamua kumfuatilia kupitia simu yake,nilichokutana nacho Mungu mwenyewe ndiyo anajuwa.Namsubiri amalize tu.
Innalillah Wainnailayh Raj'unHiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Ngoja waje na kauli yao ya wao ni wachache kuliko wanawake, hivyo ni haki yao kuchepukawanaume wamezoea wao kwenda nje ya ndoa then anakuletea mtoto umlee kwa lazima... Ulee matunda ya uzinzi wake... Sasa wakifanyiwa wao wanasema wanawake wabaya..... Vumilieni tu
Ukisikia uhanit** ujue mwanamke amemwamini mwanaume.ukisikia useng*, ujue ni mwanaume amemwamini mwanamke