Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,108
- 93,143
Sindo namm nmeshangaaa ...Walotazaaa walikua wanawake kweli ...nahiki kizazi kinapotea ,, tunajikuta tunabaki nawalewale Wa Kuoana wao kwa wao ,, nahawa wanaoamin Mwanamme mashine na wanaoamin mwanamme kibamia ndo tumebaki nao mkuuu.Waliotuzaa walikua wanawake bhana sio hili balaa la sasa hv eti na wao wanajiita wanawake....