goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Ibrahimu wa kwenye maandiko, aliezaa na kijakazi wakeIbu yule mwigizaji?
ko ww mmeo hakuamini, sasa kuna maana gani ya kuwa na mpz ili hali humuamini. si bora ukanunue malaya tu.Kwhy nahapa mjinga nani kama si wewe unamwaminije mtu hadi kwenda ngono zembe?
Acha tu niliyoyaona singida mwaka ule,,,Mkuu umesahau na mbio za mwenge pale unapo lalia ni laana tupu jumlisha na vigodoro ndio usiseme
Unataka kusema wanasagana? Badala uwaase watu wawe waaminifu unawanyooshea kidole wanawake tu.
Wanajila wenyewe au kuna wanaume?
Si ndio hapo sasa!!Wakaka mngekuwa mnapigania Uaminifu kwa upande wenu pia kwa kiasi hiki?!, Ingependeza zaidi.
Soon mkwe, nimechoka headaches za binadam wenzanguUnanunua lini mkwe?
Pole sijamanisha we mrembo baadhi ya wanawakeIla nyie ndio mna akili![]()
