Kapime na ngoma mkuu!!!!!hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
Kapime na ngoma mkuu!!!!!hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
mkuu n kitambo kama miezi 6 nyuma, ngoma nimepima majuzi harakati za j.k.t niko vyemaKapime na ngoma mkuu!!!!!
Unaongea ukweli chief........ Mwanaume akiwa mtata atakuwa tu mtata, ila mwanamke anaweza kuwa hata anashinda kanisani na kuswali sijui kujifunika madude gani lakini akawa mgawaji mzuri tu............ Kifupi katika dunia hii ukitaka uione dunia chungu basi uwe unafatilia maisha ya wanawake!!!!!mkuu n kitambo kama miezi 6 nyuma, ngoma nimepima majuzi harakati za j.k.t niko vyema
ila hawa watu wapole na wanao jifanya kushika dini ni wapuuzi sana basi tu.
Uzuri ni kuwa sie ni kama maji mkwe, lazima mtuhitaji tu.Mwanamke kiumbe cha ajabu sana ila hamna namna tutaendelea kuwaacha tu maana KE wengi sikuhizi ni kama disposable materials.
Ukisema ujenge kibanda tu lazma uishie kulia.
Unakuta demu anachukia eti usishike simu yake, kumbe anajua analolifanya. Ukimkazia anakurudishia kesi eti oh tatizo humuamini mara unaboa kutaka kujua mawasiliano yake tu,mar oh unamnyima uhuru. Hivi uhuru gani mnaotaka mpewe uhuru wa kucheat ama?
What i came to realize being real/faithful/truthful these days ni jambo adimu sana katika mahusiano. Watu wanaona kucheat ndio kama fashion, uwe na Boyfriend umchanganye na madanga yako bila kujali kuna Ukimwi.
Nimekuita kwa Lara, unapitwaUzuri ni kuwa sie ni kama maji mkwe, lazima mtuhitaji tu.
Ooooh!! Ngoja niende.Nimekuita kwa Lara, unapitwa
Umenichekesha sana, Duh? Hao wa swala 5 wanavaa hadi nini sijui ile ni hatari sana. Nina mke wa jirani yangu ni hatari tupu, jamani sijui nini shida!!Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Dah nina mpango wa kununua dutch wifeUzuri ni kuwa sie ni kama maji mkwe, lazima mtuhitaji tu.
Unanunua lini mkwe?Dah nina mpango wa kununua dutch wife
Duh taratibu mbona matusi!Hiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Hata nyie hamuaminikiPole sana mkuu.....wanawake hawaaminiki....
Hata mimi nashangaa matusi lundo! Samaki mmoja akioza mchomoe umtupeUzi umejaa matusi ya ovyoovyo tu..... Sisi tutaamini vipi kama kweli usemalo lipo fanya kuthibitisha huu udaku wako labda tukuamini
Ila nyie ndio mna akiliUkitaka kuichukia dunia anza kufuatilia mambo ya wanawake % kubwa ni hovyo sio wake za watu sio single mama sio wanafunzi yaani akiwa mwanamke kwisha akili
