Wazee wenzangu Mtambuzi na Dark City wanaweza kunisaidia hapo kwenye red. Mimi hapo sijaelewa eti kusonga ugali ni kazi ngumu??!!! Hahahaha! Kabinti kangu ka darasa la saba huu ni mwaka wa tatu sasa kanasonga ugali vizuri tu.Katika maisha ya ndoa kitu muhimu ni kusaidiana majukumu ya kila siku, wanaume kama mimi hupenda kufanya zile kazi ngumu ambazo naamini kama akizifanya mke wangu zitamchosha kama kusonga ugali na kama hizo na hizo nyepesi kiasi basi nitamwachia wife na house girl......Ila linapokuja swala la uzazi mara zote nahakikisha nimeandaa kila atakachokula mke wangu ndipo nawahi kazini kwani ukimwachia HG utakuwa umekwepa jukumu la baba, au ukiwaita ndugu zako ni kuongeza gharama zisizo za msingi.....Nawahimiza wanaume wenzangu kama mungu kakupa mke anayekupenda msaidie katika shughuli ndogondogo then utaona baraka katika ndoa yako...Tuache kusikiliza malezi ya kibabe kwa marafiki zetu, na tukumbuke mke ndie anayefanya ndoa....na tukiwapa furaha tumeifuraisha nyumba nzima.
hadi wewe wa bb unalalamika je mi mwenye mchina..
Wazee wenzangu Mtambuzi na Dark City wanaweza kunisaidia hapo kwenye red. Mimi hapo sijaelewa eti kusonga ugali ni kazi ngumu??!!! Hahahaha! Kabinti kangu ka darasa la saba huu ni mwaka wa tatu sasa kanasonga ugali vizuri tu.
Naweza pia nikaonekana mkorofi lakini hapo bold, yaani hapana aisee..... housegirl yupo afu niingie jikoni? Ntaweza kufanya kama sina housegirl ila kama yupo sitaingia jikoni asee. Kumbe kazi yake itakuwa nini?
Huo ni msimamo wangu wandugu msijenitoa ngeu. Nyie fanyeni lakini mimi babu yenu HAPANA asee.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
mtambuz pale kwa Mama Lara 1 ni zaidi ya UHAUSIGELO na TRAINING CENTRE!!!!!!!!!!! Yaani ukiolewa ndo unaenda likizo!!!!! Nimelele watoto wasio na idadi maana mtu akijifungua anaenda kwa Mama Lara 1 kidogo utadhani ndo mkuu wa Manesi!!!! Mama Lara mwenyewe hashikagi NNYA ya mtu!!!!! Mtumishi wake Lara 1 ndo ajue mzazi anaishije na usafi wa humo ndani umeendaje, na nini kinaliwa humo ndani, na walio shule wanaaendeleaje!
Majukumu yakikuzidi unabuni SYSTEMS za kazi ili utumie akili zaidi na nguvu kidogo!!!!!!
Kwanza mtu akizaaa aachane na Analogia lazima aende DIGITAL!!!!!!!!!!
1.Rule ya kwanza nawafundisha wazazi i kumtrain mtoto, kumchezesha weee mchana ili usiku alale hoi!!!!! sio kukesha kama wanga!!!!
2.Rule namba 2 lazima uhakikishe kashiba sanaaaaa usiku na gesi umemtoa! Hapo burdani asubuhi hiyo!
3.Gadgets za KIDIGITALLY!!!!!!!! Maziwa kamua na mashine weka kwa kipashio cha mums temperature lala zako! Kitumishi chako lara nikisikia nga,aaa wapi chupa!!!!!? wala sikuamshi!!!!!!! Wapi Baby Rocker! sio mambo za kuvimbishana misuli ya mikono! Wapi baby swinger!!! Kitoto kilie lie kilie nini kwanza?????? MPANGO DIGITALLY!
4. Mtoto nampa TRAINING ZA KIJESHI mapemaaaa!!!!!!! Miezi 5 akianza kukaa tu namuanzisha POT! Pampers zimepanda bei! Miezi 3 naanza kumtrain azoee kujilaza mwenyewe bila kubembelezwa! Akiwekwa kitandani tu alale! Kula kwa muda maalumu sio akihisi njaa tu ngaaaaaaaa!!!!!!!!
Bottom line UKIWA NA PESA MALEZI SIO ISHU MAMBO YA DIGITAL SAFI SANAAAAAAAAAAA! USIPOZAA HUJATAKA TU!
Labda ndio mambo ya digitali haya mzee mwenzangu. Kuna kazi ambazo hata nikijifanya kumsaidia huyu mama matesha wangu kwanza hata yeye atanishangaa. Kama hata kutandika kitanda? Mwishowe utaosha vyombo, utadeki nyumba, kufagia nje na kufua nguo za watoto..... sasa dah.....Mimi mwenyewe nimeshangaa sana mzee mwenzangu....
Ila kuna Nyamayao naye kutoa mpya eti msukuma anatandika kitanda.....
Jamani hata kama akina mama wanahitaji kusaidiwa, lakini tujaribu kuheshimiana...
Hivi na uzee wangu huu naanzia wapi kutandika kitanda, kusonga ugali au kumtengea bibi chakula??
Naona kama mambo mengine ni utani kwa kweli...
Babu DC!!
Labda ndio mambo ya digitali haya mzee mwenzangu. Kuna kazi ambazo hata nikijifanya kumsaidia huyu mama matesha wangu kwanza hata yeye atanishangaa. Kama hata kutandika kitanda? Mwishowe utaosha vyombo, utadeki nyumba, kufagia nje na kufua nguo za watoto..... sasa dah.....
Hapana niacheni nikae na uanalojia wangu. Potelea popote.:A S angry::A S angry::A S angry:
daaaaah kuna ubaya kujaribu babu?hela sijapata bado...
Hilo ni kweli Kaka Mtambuzi, hayo mambo huwa yanachanganya sana, maana ukirudi umechoka, uanze kuangalia mazingira ya home mpk watoto, uangalie chakula kama kiko sawa, lakini yeye akirudi anataka haki yake pale pale bila kusubiri, kwa kweli wanawake tuna kazi sana.
Na ndiyo maana nyumba ndogo zimezidi sana, kwa sababu wanaume hawataki kwasaidia wake zao, wala hawataki kusikia neno LEO NIMECHOKA" utaulizwa umefanya kazi gani? AU usipo pacipate vizuri katika tendo la ndoa anakasirika, na wala hataki kusikia extuse yoyote ile .
Pia wanatakiwa kubadilika kutokana na wakati, kwamba wakati ule tulipokuwa wawili iliwezekana kula sakalamenti takatifu hiyo kila sehemu ndani ya nyumba,(kwenye kochi, bafuni, jikoni ) na sasa kuna watoto tunatakiwa kulia room kwetu, na kwamba kama nilikuwa nakulisha hivi na sasa hupati , inatakiwa umuulize mwenzio, au wewe nilishe vile uonavyo ni vyema, lakini badala yake , ndiyo mnakwenda nyumba ndogo .
Kwa kweli mnatuumiza sana nyoyo zetu,Ila Tunawapenda na kuwaheshimu sana waume zetu"
Kuna wakati niliwahi kuongea na mwanamke fulani, kuhusu jambo hili akalalamika kwamba wanawake wana mzigo mkubwa sana linapokuja swala la kazi na malezi katika ndoa mpaka wanachanganyikiwa.
Aliniambia,
"Ninyi wanaume hamna huruma, unakuta mke ametoka kazini, akifika nyumbani amechoka, watoto wanamuhitaji kama mama na mume naye anamuhitaji kama mke, na hapo ndipo tunapochanganyikiwa."
Nikamuuliza kwa hiyo hilo ndilo tatizo linalowafanya mchanganyikiwe, kwa ni hamkujua kwamba mkiolewa kuna kuzaa na kulea?
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana mzee mwenzangu....
Ila kuna Nyamayao naye kutoa mpya eti msukuma anatandika kitanda.....
Jamani hata kama akina mama wanahitaji kusaidiwa, lakini tujaribu kuheshimiana...
Hivi na uzee wangu huu naanzia wapi kutandika kitanda, kusonga ugali au kumtengea bibi chakula??
Naona kama mambo mengine ni utani kwa kweli...
Babu DC!!
Labda ndio mambo ya digitali haya mzee mwenzangu. Kuna kazi ambazo hata nikijifanya kumsaidia huyu mama matesha wangu kwanza hata yeye atanishangaa. Kama hata kutandika kitanda? Mwishowe utaosha vyombo, utadeki nyumba, kufagia nje na kufua nguo za watoto..... sasa dah.....
Hapana niacheni nikae na uanalojia wangu. Potelea popote.:A S angry::A S angry::A S angry:
Labda ndio mambo ya digitali haya mzee mwenzangu. Kuna kazi ambazo hata nikijifanya kumsaidia huyu mama matesha wangu kwanza hata yeye atanishangaa. Kama hata kutandika kitanda? Mwishowe utaosha vyombo, utadeki nyumba, kufagia nje na kufua nguo za watoto..... sasa dah.....
Hapana niacheni nikae na uanalojia wangu. Potelea popote.:A S angry::A S angry::A S angry:
Asprin my hubby, kuna ubaya gani ukitandika kitanda? Haswa kama umetoka kitandani wa mwisho? Mama matesha akisafiri hicho chumba si kitakuwa vururuvururu kama garage??????????
ukiosha vyomba utakatika vidole? Huoni raha mkiwa jikoni na mama matesha ukiosha vyombo yeye akisonga ugali huku mkipeana vicheko vya mahaba????
Angalau hapo kwa red kidogo nakuelewa. Pale inapobidi sawa lakini siyo eti tunaamka wote afu haraka haraka nakimbilia kutandika kitanda.... Over My Dead Body..... Afu ni kweli una bahati kuolewa na msukuma asee, wife alishasafirigi kusafirisha msiba kwa siku tatu..... Neti alivyoiacha ndivyo alivyoikuta, mi najichomokea kitandani kama panya!! Alibaki anatikisa kichwa na kutimiza wajibu wake.hajafikia huko, nimesema, anapika, na kutandika kitanda anacholalia pale inapobidi, hivi kweli aamke saa 5 nyamayao sipo nyumbani halafu aache room hivyo hivyo?jamani, aisee kwa maelezo yenu mnanifanya nazidi kumpenda msukuma, loo na mama nae alinilelea mume vizuri aisee, mbona baba yake msukuma nae namuonaga anafanya kazi za nyumbani? basi hawa wasukuma wangu vituko aisee, hahahaha
Wifey labda nilipitiwa by then umri ukiwa mchanga kwenye ndoa. Na kwa bahati mbaya au sijui nzuri haya maisha yetu ya extended family, ndani ya mwaka mmoja wa ndoa tayari naishi na shemeji zangu na wadogo zangu afu nifanye kazi za kina mama? OMG!! ...... Labda wenzetu mnaishi maisha ya kizungu zaidi kwamba nyumba nzima uko wewe na mmeo na mwanenu mmoja tu hapo kidooooogo naweza kuwaelewa.Asprin my hubby, kuna ubaya gani ukitandika kitanda? Haswa kama umetoka kitandani wa mwisho? Mama matesha akisafiri hicho chumba si kitakuwa vururuvururu kama garage??????????
ukiosha vyomba utakatika vidole? Huoni raha mkiwa jikoni na mama matesha ukiosha vyombo yeye akisonga ugali huku mkipeana vicheko vya mahaba????
sio kwamba ndio ninayoyataka, ndio nimekuta mtu kalelewa kikazi, sasa atake kufanya nimwambie hapana? au sijakuelewa bro.
jamani jamani, yaani kutandika kitanda anacholalia nayo ishu? so sipo home ndio basi tena na mie mdada haingiagi hata kidogo room kwangu, so ashindwe kutandika, haahaha wacha hizo, nadhani wasukuma wengi wamelelewa kikazi, tofauti kabisa na kaka zangu wa kichaga, nimeolewa na msukuma, nipo kwenye jamii ya wasukuma, nawaona wengi wao ni watu wa kazi, mbona kwao alikuwa anazifanya? ndivyo alivyolelewa, yaani kupika na kutengea msosi wanae aone tabu? pweeeh basi nikuambie tena mie nina mwanaume ati, ndio msukuma wangu huyo kazi kwake alijifunzia kwao, so nyamayao kamkuta kikazi zaidi, hata tulivyokuwaga bfrnd/gfrnd mbona kwake nilikuwa nakukuta kusafi haswa, na alikuwa anazifanya mwenyewe, so kwa ajili kaoa ndio iwe basi?
Dada yangu ngoja nikuambie kitu. Siyo kwamba hatujui kupika au kufanya kazi nyingine yoyote anayofanya mwanamke ndani ya nyumba. Mi nilianza kupika nikiwa darasa la tano mpaka namaliza A level nikirudi nyumbani likizo mama ananiachia jiko. Nimepika sana, nimefua sana, nimedeki sana, nimeosha vyombo ile mbaya na kufagia ndio usiseme. Huo ulikuwa wajibu wangu kwa kipindi hicho. Wakati huo sijawa baba mwenye familia yangu. Sijawa MWANAUME!nisaidie mpenzi wangu, jamani msukuma nilimkuta anazifanya hizo kazi kuanzia tukiwa marafiki,nilikuwa nikienda kwake nakuta amepika/anapika,kitanda kimenyooshwa, usafi umefanyika kila kona, sasa hivi kaoa ndio aache?
Angalau hapo kwa red kidogo nakuelewa. Pale inapobidi sawa lakini siyo eti tunaamka wote afu haraka haraka nakimbilia kutandika kitanda.... Over My Dead Body..... Afu ni kweli una bahati kuolewa na msukuma asee, wife alishasafirigi kusafirisha msiba kwa siku tatu..... Neti alivyoiacha ndivyo alivyoikuta, mi najichomokea kitandani kama panya!! Alibaki anatikisa kichwa na kutimiza wajibu wake.
Wifey labda nilipitiwa by then umri ukiwa mchanga kwenye ndoa. Na kwa bahati mbaya au sijui nzuri haya maisha yetu ya extended family, ndani ya mwaka mmoja wa ndoa tayari naishi na shemeji zangu na wadogo zangu afu nifanye kazi za kina mama? OMG!! ...... Labda wenzetu mnaishi maisha ya kizungu zaidi kwamba nyumba nzima uko wewe na mmeo na mwanenu mmoja tu hapo kidooooogo naweza kuwaelewa.
Umri huu na vibinti ndo vinaingia sekondari mzee mzima niingie jikoni? NO WAY asee. Ntaendelea kubakia baba wa kiafrika mwenye kufuata maadili ya kiafrika.
Nakala kwa wazee wenzangu Dark City, Mtambuzi, Kaizer