i can handle all these threeshold at a time ila najitahidi mpaka nguvu zinaniishia ,nakereka sana unakuta tunatoka na mtoto /watoto anashindwa hata kubeba pochi ya nguo za watoto au kusaidia chochote akiamka atavaa atamaliza atakwenda kwenye gari kupiga horn mpaka utoke kila siku nasahau vitu.i realy hate that habit lakini ndio nishaolea lazima nilale uchi tena.
ndiyo niko nao nawahudumia mwenyewe sitaki hata msaada wa beki tatu, wananambia mom wewe ni shujaa!!1
twayafanya tena kwa amaniiiiiiiiiiii! Kikubwa uzima tu na siha njema kwa familia! Shida hutokea wakiumwa kwa upande wangu, lakini kama wazima, hakun a tabu hata kidogo, kuanzia mimba mpaka kuja kujifungua! Na game nalitoa kama atakavyo, muda wowote!
Nilivyojifungua twins, nilihama room ili nisimchoshe hubby na vilio, pampers kila kona, chumba kinuke maziwa, nikaona nitaachiika, nikahamia next room na wanangu, akitoka job nakwenda kusalimia room kwake, anakuja kubeba wanae, akitaka anacheza nao room kwake, then saa ya kula ma-house gal wanatake over nimpe company mpaka anavyokwenda kulala sigusi mtoto.
Akitaka extra game usiku, ananicall tu kwa simu, nawaacha twins faster na haus gal nakwenda kuwajibika kama ilivyo ada, so mpaka leo twins ahajui kama kuna kulala na sisi! Walipotimiza mwaka nikawahama jumla kurudi kwa hubby, nikawa nakwenda kuwachungulia na kunyonyesha kwa muda niliojipangia!!
Tunaweza wa-mama, tusife moyo, tusonge mbeleeee, na nyumba ndogo zote nazikemea zife milele na milele, upendo, furaha na amani katika ndoa zetu virudi kupita mito ifurikayo! Amen! Mungu wetu zipiganie ndoa zetu na familia zetu! Amen!
hahahaha inanihusu nn shsosti mbona sijaelewa!! nieleweshe tafadhali
SOMA VIZURI HAYA MANENO YA HUYO MZEE HAPO CHINI
((mtu anadai ameolewa wakati ni kigoli,watu wanadai wana watoto kumbe hawana))
unajua kuficha sura chini ya keyboard kunalipa sana.but kiukweli kama ndo ulivyo in reality,HONGERA
:confused2::confused2::confused2:
Mzee mwenzangu imenifanya nikaipitie upya ile intavyuu ya lara 1 nikagundua hata mimi Ciello kaniingiza chaka! Khaaaaa!!!
Aiseeee!!........:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Ewaaaaa kumbe nawe ulistukia dili eh?Mh! Hivi ile interview yako na lara 1 niliisoma na makengeza au?
Gadem.... sasa tuambie kule ndo ulikuwa unachangamsha jamvi au hapa leo ndio umeamua kutuchinjia baharini?Aaah ile ilikuwa changamsha jamvi na kuwapa moyo mabinti wa jf wasiwe waoga waishi na kuenjoi life while they can
hahahaha inanihusu nn shsosti mbona sijaelewa!! nieleweshe tafadhali
SOMA VIZURI HAYA MANENO YA HUYO MZEE HAPO CHINI
((mtu anadai ameolewa wakati ni kigoli,watu wanadai wana watoto kumbe hawana))
:confused2::confused2::confused2:
Mzee mwenzangu imenifanya nikaipitie upya ile intavyuu ya lara 1 nikagundua hata mimi Ciello kaniingiza chaka! Khaaaaa!!!
Aiseeee!!........:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Ewaaaaa kumbe nawe ulistukia dili eh?
Gadem.... sasa tuambie kule ndo ulikuwa unachangamsha jamvi au hapa leo ndio umeamua kutuchinjia baharini?
Anyway..... :focus::focus:
Mi leo nawasomeni tu nione malezi yenu ya kidigitali na yetu ya kianalojia yana tofauti gani.
Sasa kazi unayo ya kunithibitishia mimi, mzee mwenzangu Mtambuzi na bibie lara 1 kuwa kule ndo ulifanya masihara na wala si hapa. Nikisoma katikati ya mistari, na nikifuatilia posts zako nyingi humu ndani pamoja na ile intavyuu na nalazimika kusema hapa ndio unafanya masihara.kule ndo nilichangamsha jamvi ila hapa ndo niko real....
kama mwanamke haya maisha yananipa raha sana esp kuwa mke/mama, nashukuru kwamba najitahidi kadri ya uwezo wangu kupambana na vyote vitatu, challenges kibao but napambana nazo na nafurahia maisha to the fullest, purukushani zinaanzia saa 5 am kuandaa kids kwa school, msukuma wangu ni mtu wa kujiandalia mwenyewe siku zote(sijuagi kupasi mie,sijui kuweka suruali upanga,sijui nini), mchakato wa kusaka faranga nao una challenges zake but nakomaa nazo,huwa sina shaka sana na kazi za nyumbani coz nina mwanaume ati, nampenda sana msukuma wangu kwa hilo, sio mtu kwa miguu juu akisubiri mke afanye, anafanya kila kazi za ndani anazoona mke anastahili kusaidiwa, sihofi kupitia kupata moja moto kwamba must niwahi home kupika/h'work za watoto, kama yupo atafanya/andaa kila kitu na wanae, nampenda sana sana msukuma wangu kwa hilo, yap umama/mke mtamu sana!
:confused2::confused2::confused2:
Mzee mwenzangu imenifanya nikaipitie upya ile intavyuu ya lara 1 nikagundua hata mimi Ciello kaniingiza chaka! Khaaaaa!!!
Aiseeee!!........:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Ewaaaaa kumbe nawe ulistukia dili eh?
Gadem.... sasa tuambie kule ndo ulikuwa unachangamsha jamvi au hapa leo ndio umeamua kutuchinjia baharini?
Popote ulipo lara 1 kuja pande hii uone show yako tunavyouziwa mbuzi kibudu kwenye kiroba. Kwa staili hii, Watu hawachelewi kudhania kuwa mimi na babu mwenzangu Dark City ni vijana asee.
Anyway..... :focus::focus:
Mi leo nawasomeni tu nione malezi yenu ya kidigitali na yetu ya kianalojia yana tofauti gani.
Short and Clear!!Hii ndiyo JF mzee mwenzangu.....
Watu wataokaobeba maneno ya humu whole sale basi tuwatangulizie pole kwa sauti kubwa....
Baada ya hapo, naomba kuwaeleza hawa wajukuu kwamba kulalamikia vitu ambavyo siyo haki yao wala haisaidii....
Babu DC!!