i think maweiwe ni m/mke thats y she said "wao ndio waathiriwa...".
Blaine said:kakupa za uso he he!!
Mbona wewe hujachangia???
Umeanza ukorofi wako wa Kipare....
Inabidi muondokane na dhana kama hizo....nje huku kuna wanaume tunajua majukumu yetu na hakuna mwanamke ashawahi kujuta kuwa nasi.
mtani najua wewe wajua majukumu yako kama shem wako,ila wako wengine wengi tu ambao duh ni zahama
Ila nitambuavyo mimi, mwanamke ana nafasi kubwa ya kumjenga mwenzi wake katika njia ipasayo.
Kumbuka watu huwa hatuzaliwi pamoja, tunakutana tu katika mandhari tofauti na kutamkiana tunapendana. From there maisha yanakuwa ni kuambatana pamoja.
Hivyo hivyo hata majukumu ya kifamilia, ni habari ya kuelekezana zaidi na kuchukuliana.
.....Ukimpenda utamjali.....
nafikiri huyo mwanamke alipaswa au anapaswa kuwa mama; kwa maisha tunayoyaendea ni vizuri watoto wetu wa kiume tuwafundishe jinsi ya kuwa mume na baba bora. mara nyingi mafunzo ya mke huwa hayapokelewi vizuri kwa mwanaume, na pia husemaje 'samaki mkunje angali mbichi'.
So maybe wewe ni ngumu kiasi kubadilika lakini sonushka wako waweza mfundisha umuhimu wa kusaidia shughuli za nyumbani; na kwa ma gadget kibao kwenye ma-mall maisha yamekuwa rahisi kwa mwanaume kufanya shughuli za home
''Hebu kina mama na kina baba wa JF nipeni uzoefu wenu katika jambo hili wanawake kwa upande wenu mueleze jinsi mnavyoweza kukabiliana na changamoto hizi na wanaume mueleze ni namna gani mnasaidiana na wake zenu katika kukabiliana na changamoto hizo.''
Mnatutesa tunaotumia simu. Ukiona thread ni ndefu sana msiwe mnaQuote jamani. UkiReply bila ya kuQuote itaeleweka umeReply to thread husika.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hongera....:becky:
ukiwa unaenda kazini wanabaki wenyewe au?