sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
First: inaonekana huna watoto wadogo sana thats why umezungumza haya may be ungetupa experience hao wanaoenda shule sasa wakiwa wadogo uilikuwaje
Pili: kwa wachangiaji wengine UKWELI UTAWAWEKA HURU ....KUONGEA OUTI TO BE HAI MAKE SENSI....ONGEA FROM EXPERIENCE SIO UONGEE kufurahisha genge na kujipambanu kama hodari
mix with yours[/QUOTE]
1. hao wanaoenda shule wakati wako wadogo nilikuwa na waschana wawili now nina mmoja na pia watoto wangu wamepishana kwa miaka kadhaa kiasi kwamba mkubwa anamsaidia mdogo kuvaa soksi na viatu pia niliwafunza kujitegemea haraka baada ya waschana wa kazi kusumbua ilinisaidia hata kipindi sina mschana nikimuomba bibi yao aje ashinde nao nikiwa job hana kazi kubwa zaidi ya kuwacontrol, walijua kujiogehsa na kujinawisha mapena na kujilisha wenyewe.
2. Mtambuzi watu wamejibu maswali yako au wamechangamsha uzi na kuwafurahisha wengine wanaopita kusoma tuu? Umekusanya mawazo uliyoyategemea au wamekufanyia mzaha?