neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
Msaada gani huo ndugu piper,
Kuna mambo ni majukumu ya mtu na wala hakuna anayemwonea mwenzake....
Ngoja nisiseme mengi..lol!!
Babu DC!!
Kuna mambo ni majukumu ya mtu na wala hakuna anayemwonea mwenzake....
Babu DC hyo sentensi una uhakika nayo??? Usikute wewe ni wa kwanza kung'ang'ana na wife akusaidie mifuko ya cement, mara wife fanya maaarifa basi ya ada kwa mtoto mmojawapo.
Au ukichapika tu.. Utasikia wife fanya maarifa kidogo.. Ohoo usishangae kuambiwa kila mtu ana majukumu yake ohooooo
Maisha ni kusaidiana bana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Last edited by a moderator: