Hapo sijamwelewa muheshimiwa Tatizo kukata viuono? au tatizo wapi unakatia hivyo viuono!! maana Akija Rais yoyote kutembelea nchi pale uwanja wa ndege kunakua na ngoma mbalimbali na Asili ya ngoma zetu ni "wanawake kukata" viuno na hua anachekelea kinoma!! so which is which Mr. PM??
Hapo sijamwelewa muheshimiwa Tatizo kukata viuono? au tatizo wapi unakatia hivyo viuono!! maana Akija Rais yoyote kutembelea nchi pale uwanja wa ndege kunakua na ngoma mbalimbali na Asili ya ngoma zetu ni "wanawake kukata" viuno na hua anachekelea kinoma!! so which is which Mr. PM??
Mbona hazungumzii upatikanaji wa umeme, maji, afya na elimu bora kwa watanzania?? Naamini hivi ndo vitu vya msingi kwetu wazalendo wa nchi hii.
Au anataka dada zetu wote wavamie si-hasa (siasa) kama Sophia Simba? Au waanzishe vijitaasisi uchwara kama "wanama"??
enhe uchungaji wa kondooo?
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
huyu mzee bana..acha ni reserve tu comment zangu
naona umeshindwa kur-reserve comments zako kwi kwi kwi!yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
Mimi nadhani angetilia mkazo zaidi usimamizi wa wizara zake ambazo kwa sasa sijui zinafanya nini ukiondoa kuandaa matamasha, kongamano na viako...
Ni bora mtu atake viuno lakini anajenga nchi kwa juhudi na uadilifu kuliko kutokata viuno na kuiba fedha na kualiti taifa
Sijui alikuwa anamaanisha nini,Viuno asili yetu whether male or female.
Muulizeni PM maji yamejaa mtera? Mambo ya viuno am sure alikurupuka.