Wanawake kukata viuno kwenye majukwaa ni aibu kwa Mwanamke - Mh. Pinda

naona umeshindwa kur-reserve comments zako kwi kwi kwi!

hazirizeviki hapa carmel, ukizingatia kigogo alikatazwa kuvaa sutiwati PM mwenyewe akhaaaa kama unavomwona, magari ya maana ndo kabsaaaaa.

nadhani marufuku hizi mbili hazimuhusu yeye.

mwache kigogo aongee bana, inaumaa
 
Kashaacha kuvaa suti huyu? Au bado analeta longolongo huku yeye bado anavaa suti?
 
Hakupata job description wakati anaanza kazi, si unajua alipewa u-PM ghafla bin vu!!! Sasa anajaribu kujijengea mwenyewe miongozo ya kazi ukichanganya na hiyo short-sightedness ndio anaishia kwenye viuno!!!
Jamani hebu muandikieni majukumu yake ya kazi huyu baba, anazidi kutia aibu!!!
 
Back
Top Bottom