HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Wengine kama wewe huwa mnagawa papuchi mpaka zinakaa wazi na zinaota sugu ili mpate hayo magari...Kila mwanamke aliye na gari kanunuliwa.??? Acheni ushamba...huko ofisini kwako hamna wanawake walikuzidi salary. ...hauna mabosi wa kike.??? Hujasoma na mademu vichwa darasani...kumbe bado mna mawazo mgando eehh...mwanamke ni mama wa nyumbani.??heeee pole weeeeeee......cash aint nothing now days as long as uko vizuri kimshahara...si kila demu anahongwa km kina sepetu
Bora umekuwa mkweli, na hili ndio tatizo kubwa.
Kwanza ukishamwona baba watoto afu kwenye gari kuna kidume kingine, kama hapendi mie mwenyewe naanza kutafuta justification ambazo hazipo.
Ila ambacho huwa nabaki najiuliza, kwa nini niwe mwema sana kwa watu wa nje kwa gharama ya maumivu kwa niliyenaye na kukaa tunagombana? Hata kama ni wivu wa kijinga, poa tu ni haki yake, si nilikubali mwenyewe tena kwa kujiangusaga tu?
wanachekeshaaaa hao..hawaoni watu wanavyochakarika ati. Siku hizi tumebeba majukumu yote kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho lolz.
Cc tofali
Yaani kama nakuona hivi shosti. Mimi sometimes hadi nawahurumia wanavyojikakamua na kupretend, halafu unakuta mtu kama huyo kwa familia yake ni mgumu na ni mkali utafikiri policcm kwa CDM.
Lol, nimeoina charminglady, lakini mbona sisi huwa tunawapakia akina dada na saa nyingine mpaka tunasubirishwa na wala hatulalamiki? Magari yetu hayachakai? Na hapa hakuna issue ya security maana tunazungumzia lifti ya kuwapa japo wafanyakazi wengine, hofu ya nini?
Ukute umekula umin wako hatari ukikaa kinapanda hadi God knows whhere.
Off topic-huwa nazimia sana mdada mwenye ulegi wa uhakika halafu anadrive huku amepiga kimini!!! hatariiiiiiiiii
Mie waendelee kuniona mbaya tu. 90% ya siku ninazotoka job huwa nakuwa na mishe zangu town. sasa kama watataka lift nkawakatalia then wapakaze shauri zaoooo.... Asubuhi ukute ndo.nshachelewa nakanyaga mafuta kama sina akili mzuri, akili inawaza sijui boss ntamuangaliaje.... Lazima nitampita tu.
Ila mie huwa natoa lift kwa watu ninao wafahamu tu!!!!
Na kweli now days wanawake wana hela sana sababu biashara ya PAPUCHI na KABAANG inalipa sana hasa mahofisini yaani mshahara huugusi kabisa..Ninyi wanaume dharau kwa wanawake zitaisha lini??
Inamaana mwanamke hana uwezo wa
kununua gari kwa pesa zake hadi anunuliwe??
kwa taarifa yenu wanawake ndo wenye pesa cku hizi kuliko nyie waume
kuna waume kibao wanonunuliwa magari na wanawake
na hata kuwezeshwa kibiashara na mambo mengine ynayofanana na hayo!!
wengine wanaenda mbali zaidi hadi kwa akina
kalumanzila ili wapate wanawake wakuwawezesha
mfyuuuu zako!Bora umekuwa mkweli, na hili ndio tatizo kubwa.
Kwanza ukishamwona baba watoto afu kwenye gari kuna kidume kingine, kama hapendi mie mwenyewe naanza kutafuta justification ambazo hazipo.
Ila ambacho huwa nabaki najiuliza, kwa nini niwe mwema sana kwa watu wa nje kwa gharama ya maumivu kwa niliyenaye na kukaa tunagombana? Hata kama ni wivu wa kijinga, poa tu ni haki yake, si nilikubali mwenyewe tena kwa kujiangusaga tu?
Wengine kama wewe huwa mnagawa papuchi mpaka zinakaa wazi na zinaota sugu ili mpate hayo magari...
....ana lake jambo huyo, we subiri akishapata/ukishamtimizia hitaji lake kama atakusubili tena masaa yote hayo..
mfyuuuu zako!
kwa hiyo jana ulivorudi nyumbani ukajiangusa? King'asti lete tarumbeta tudai picha za senema Nicas Mtei kuja huku Kaizer njoo uone mavitu ya ukween zombie kashapigwa mweleka!mujarab watu8 ile passport yangu heb nakuachia pale suka utaikuta ukaanze kunifanyia process za viza ya pariiii