Wanawake katika mwonekano wa nje na ule wa ndani.....

Wanawake katika mwonekano wa nje na ule wa ndani.....

ofisini kuna jamaa alitembea na dada mmoja yupo vizuri sana kwa mtazamo wa nje lakini jamaa aligharamia sana na alipopewa game hakurudia tena wote tukawa tunamshangaa kwaninini dada kumbe kakolea vibaya, jamaa aliyoyakuta siri ila anasema hata apewe pesa hawezi fanya naye.

hapo ukikuta ovyo hugeuki nyuma ni unachapa lapa fastaa
 
Kweli wadau nguo zinaficha mengi mno tena mno...hawa walimbwende wetu wetu wako very artificial..kwa ambao mimi nimewa experience wengi wao unachokiona sicho unachokuta yaani ganda la Choclate ndani muhogo..
 
Be smart of the good lookings... cuz si kiing'aracho ni dhahabu
 
Back
Top Bottom