Wanawake katika mwonekano wa nje na ule wa ndani.....

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Kila mwanaume ana vitu anavyovutiwa kutoka kwa mwanamke,mwingine atapenda nywele,kucha,makalio na mambo mengineyo.

Kwangu mimi nimekuwa navutiwa na vitu mbalimbali kutoka kwa mwanamke kubwa zaidi huwa ni uzuri wa KUCHA zake za miguu na mikono,zaidi ya hilo piahuwa navutiwa na mwonekano wa mwanamke (physical appearance).

Huvutiwa zaidi na mwanamke akiwa amevaa nguo zinazompendeza hasa suruali ya jinsi inayobana mwili wake(skin jeans),mini skirt,na nguo zote ambazo hakika zitamfanya tu msichana apendeze zaidi.

Sula hilo(la muoneakno wa kimavazi) limekuwa likinivutia sana lakini limekuwa likileta fikra nyingine katika upande mwingine,kwa mfano,inaweza ikatokea kweli nimempata mwanamke mzuri sana ambaye katika mavazi yake anapendeza sana,lakini akiishavua nguo zake na kuwa kama alivyozaliwa(kwenye privacy) najikuta yani namuona mwanamke yule ni wa kawaida saana hata ile hamu ya kuwa naye inapotea kabisaaaa....tena hata nikishafanya naye basi ndio itakua imetoka na simtafuti tena.

Swali ni je (kwa wanaume) na wenzangu pia hali kama huwa inawatokea?
 
Hahahahaha unajua mitindo ya mavazi inatungwa kumvutia mwanaume, wengine wanasema wantungia hukoo kwa kuzimu..
Sasa suala la uzuri wa mwanamke ni mwonekano wa ndani.....!
Kuna mwingine kwenye mavazi anavutia kweli kweli, Sasa nenda akuvulie weee, mara makunyanzi, mabaka mabaka kunako naniii, na pengine ukaambulia lijiharufu la ajabu sana.
Hapo pana mtihani kweli kweli ......................!:wave:
 
na hapo ndipo lilipo tatizo,mavazi hufanya wengi wavutie lakini,once akiwa naked utataman umwambie avae nguo zake tena
 
Ha ha haaaa. Jamani mambo haya. Kule tumeambiwa tukae na tushinde uchi na wenzi wetu huku nako kumbe kuna wengine kwa kukaa hivo wanatisha wenzi wao. Tulipoambiwa tuvae nguo ilikua kwa maana nyingi
 
...hapana huwa inakutokea wewe mwenyewe...so badili mtizamo wako katika hilo

Take home sms =====wanawake wote ni wa kawaida wanapokuwa bila nguo (utupu) so does the men......
 
na wanaume hivyo hivyo, mtu kapendeza cadet yake au suit yake, ngoja achojoe; unatamani mfanye kinguo nguo.

I am joking a little lakini (maana vitambi bora vifichwe tu na nguo). LOL
 
Kila mwanaume ana vitu anavyovutiwa kutoka kwa mwanamke,mwingine atapenda nywele,kucha,makalio na mambo mengineyo.

Kwangu mimi nimekuwa navutiwa na vitu mbalimbali kutoka kwa mwanamke kubwa zaidi huwa ni uzuri wa KUCHA zake za miguu na mikono,zaidi ya hilo piahuwa navutiwa na mwonekano wa mwanamke (physical appearance).

Huvutiwa zaidi na mwanamke akiwa amevaa nguo zinazompendeza hasa suruali ya jinsi inayobana mwili wake(skin jeans),mini skirt,na nguo zote ambazo hakika zitamfanya tu msichana apendeze zaidi.

Sula hilo(la muoneakno wa kimavazi) limekuwa likinivutia sana lakini limekuwa likileta fikra nyingine katika upande mwingine,kwa mfano,inaweza ikatokea kweli nimempata mwanamke mzuri sana ambaye katika mavazi yake anapendeza sana,lakini akiishavua nguo zake na kuwa kama alivyozaliwa(kwenye privacy) najikuta yani namuona mwanamke yule ni wa kawaida saana hata ile hamu ya kuwa naye inapotea kabisaaaa....tena hata nikishafanya naye basi ndio itakua imetoka na simtafuti tena.

Swali ni je (kwa wanaume) na wenzangu pia hali kama huwa inawatokea?
Wengine akivua nguo kam puto au mzigo wa kuni, yaani MZUKA wote unaisha na utaona mpini unaenda zake ndukiiiikwenda harijojo.
mwingine unakuta chale chale mwili mzima ,
mwingine kiharufu cha uvundo kunako area C.
Ama kweli "not all glitters are gold".
 
Si utafute vijana!
 
hahaaa eti kama puto
 
na wanaume hivyo hivyo, mtu kapendeza cadet yake au suit yake, ngoja achojoe; unatamani mfanye kinguo nguo.

I am joking a little lakini (maana vitambi bora vifichwe tu na nguo). LOL

lakini naona kiasi fulan kwa mwanaume kama ni kitambi kitaonekana hata akivalia suti,tatizo kwa mwanamke unajenga picha kubwa jinsi atakavyokuwa baada ya kuchojoa mambo yanakuwa tofauti
 
Hii pande zote mbili inahusika......mwanaume mwingine nae mmmhhhhh!!!!!akivaa nguo utampenda bas avue nguo utakimbia anavyotisha.
 
kuna breast holder zinaitwa booster, na hips booster. Wakizivuaga... loooooh!

Mkuu hapo bold ndio nimezijua juzi hapa kwa ofisi baada ya dada mmoja kimbaumbau kujaza hips ndani ya usiku mmoja, ikabidi tuwaagize wenzie wafanye uchunguzi...looooooooooooooh!!!! kumbe kuna hivi vitu na sio hips tuuu yaani hata Singida/Dodoma nayo inakuwepo.
 
Kila mwanaume ana vitu anavyovutiwa kutoka kwa mwanamke,mwingine atapenda nywele,kucha,makalio na mambo mengineyo.

Kwangu mimi nimekuwa navutiwa na vitu mbalimbali kutoka kwa mwanamke kubwa zaidi huwa ni uzuri wa KUCHA zake za miguu na mikono,zaidi ya hilo piahuwa navutiwa na mwonekano wa mwanamke (physical appearance).

Huvutiwa zaidi na mwanamke akiwa amevaa nguo zinazompendeza hasa suruali ya jinsi inayobana mwili wake(skin jeans),mini skirt,na nguo zote ambazo hakika zitamfanya tu msichana apendeze zaidi.

Sula hilo(la muoneakno wa kimavazi) limekuwa likinivutia sana lakini limekuwa likileta fikra nyingine katika upande mwingine,kwa mfano,inaweza ikatokea kweli nimempata mwanamke mzuri sana ambaye katika mavazi yake anapendeza sana,lakini akiishavua nguo zake na kuwa kama alivyozaliwa(kwenye privacy) najikuta yani namuona mwanamke yule ni wa kawaida saana hata ile hamu ya kuwa naye inapotea kabisaaaa....tena hata nikishafanya naye basi ndio itakua imetoka na simtafuti tena.

Swali ni je (kwa wanaume) na wenzangu pia hali kama huwa inawatokea?
We bwana una hatari..... utawachojoa wangapi?
 
Mkuu hapo bold ndio nimezijua juzi hapa kwa ofisi baada ya dada mmoja kimbaumbau kujaza hips ndani ya usiku mmoja, ikabidi tuwaagize wenzie wafanye uchunguzi...looooooooooooooh!!!! kumbe kuna hivi vitu na sio hips tuuu yaani hata Singida/Dodoma nayo inakuwepo.

Lahaula kumbe kuna hivyo vitu du mchina noma
 
Physical appearance of a lady is very deceptive!!!! usipime uzuri kwa indicator moja hebu tafuta more stable indicators
 
Back
Top Bottom