Mirhea
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 814
- 1,384
Sasa wewe umevutiwa na kucha! nini kinakufanya uanze kumkagua sehemu nyingine za mwili? Tatizo umetamani tu baadhi ya viungo na mavazi yaliyokuvutia, wewe HUJAPENDA ILA UMEVUTIWA/TAMANI. Hamu ya kutamani huisha baada ya kukipata kile ulichokitamani. Mavazi uliyotamani yakivuliwa huwezi kumtamani/kuvutiwa naye tena. ungependa usingeona hayo mabonde na makunyanzi na kuyachukia. Upendo unatoka kwa Mungu; ukimpenda mtu utaufurahia uumbaji wa jinsi alivyoumbwa, ukimtamani utaishia kumshangaa na kumchukia baada ya tamaa yako kuisha.
Topic closed...