Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Mimi huyuuu??? Wewe ndo unastress za kufa mtu juzi tu umeandika hupendi wanawake unawachukia hata wakikusalimia huitiki, my dear unadindisha kweli?????
Mwanamke kama maji usipokunywa utachambiaa
Safiiiiiii aelewe
 
Acha kutongoza, laa kama unataka mwanamke mfanyakazi uwe unaenda bank au shuleni utawapata wenye kazi, wapo wanaopenda akirudi amkute mkewe nyumbani kama pesa ipo kwanini mke asitumie kama wewe huna pesa basi kaa mwenyewe waache wenye pesa watumie
Ndio ndio na asiseme hakuna mtu anapenda goli kipa ....wapo ambao wanataka wake zao wakae ndani kama pambo au kitu cha kumtuliza akili na kumpa furaha
 
Acha tu kuwaomba K mkuu, utaepuka haya yote
Hahaaaa,mi ni bahili zaidi ya salah,kila mtu atafute ela zake,wanaonipenda ni wengi na wananiletea papuchi wenyewe ila ela hapo ndo ujua ukichaa wangu,wakati namfikisha keleleni aniombe tena ela? Nampa nikipenda tu
 
Watu tuko tofauti sana wengine hawapendi kabisa mwanamke afanye kazi yani mwanamke akae ndani aletewe kila kitu mambo ya kwenda kudanga nje hapana naye mwanamke atalalamika kidogo but atasahau, mwanaume dizaini hii ni wale wenye mapenzi ya dhati kwa mwenza

Wengine wale sijui mwanamke naye alete tugawane kwa sababu tunatumia wote na lazima tufanye kazi wote....... my friend uko mguu nje ndani hata ukatae
Hii kitu kwetu sisi waislamu sheria inataka hivi ......na wallah ukipata mume wa hivi unaweza hisi uko peponi ....unakua kama pambo kwake I wish mume wangu awe mtu wa mungu
 
Tatizo wengine ata kuomba vizur hawajui..wanaomba kama aliweka umshikie ivi... wengine mme juana ata week amja maliza tayar ume pigwa kitu.. sasa mtu kama uyu ukiwa ne deep si uta jikuta auna ata suruali
Huyo chuma ulete sasa....mwanamke timamu haombi pesa hovyo hata siku moja
 
Wengi wenye haya mawazo ni wale wenye pesa za mawazo tu ila mbona mwanaume wapi wanaoa sana tu wanawake wasokuwa na cha kufanya, wanawajengea adi ukweni, unataka change cha kujishughulisha ili iweje wewe ndo kichwa cha familia shughuli zangu hazikuhusu labda ninunue nyanya kwa kukuhurumia
Ndio ndio wenye senti kuuutwa kulia lia mweeeeh
 
Maisha ya sasa ni kusaidiana,mke akitoa hamsini na mwanamme hamsini ndo maisha hayo mambo ya kutegemeana yamepitwa na wakati,moja akipata tatizo,yule mwingine ataishije.mi vitu ninavyoangalia kwa mwanamke,ni je ana kazi? Bila kazi utanisikia tu kwa hewa
Vitabu vya Dini havijasema hivi
 
Mzee kamaliza
IMG-20181109-WA0008.jpeg
 
Back
Top Bottom