Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Vile tu kamba yako bado ni fupi unaona ukitafuta mwenye shughuli zake atakupunguzia mzigo ili uendelee kudunduliza iko kidogo lol kuna mambo yananichekesha jf ila mwenye uhakika wa kuhudumia hawezi kuchagua sehemu za kupenda
Maisha ya sasa ni kusaidiana,mke akitoa hamsini na mwanamme hamsini ndo maisha hayo mambo ya kutegemeana yamepitwa na wakati,moja akipata tatizo,yule mwingine ataishije.mi vitu ninavyoangalia kwa mwanamke,ni je ana kazi? Bila kazi utanisikia tu kwa hewa
 
Nikusaidie??? Mume wangu namkopesha pale tu inapobidi na anarudisha na hajawai kusema leta kiasi flan tufanye iki, pesa yangu kwa mume wangu natoa kwa upendo tu na si kwa sababu alinichagua ili tusaidiane hahaha tafuta ela uwe na mawazo ya kusimama wewe km sio kipato cha mwanamke
 
Umdhanie kumbe siye, ila mi mda wa kumpa mwanamke ela cna
 
Nikusaidie??? Mume wangu namkopesha pale tu inapobidi na anarudisha na hajawai kusema leta kiasi flan tufanye iki, pesa yangu kwa mume wangu natoa kwa upendo tu na si kwa sababu alinichagua ili tusaidiane hahaha tafuta ela uwe na mawazo ya kusimama wewe km sio kipato cha mwanamke
Yaani mume wako wa ndoa unamkopesha ela? Acha tu niendelee kusima na msimamo wangu kuwa mi ela sitoi kwa mwanamke,watoto nitawasomesha ndani kuna kila kitu nimeweka,mwanamke ana kazi yake,tena aniombe ela
 
Wazazi wao
Na ww usiwafuate kuomba papuchi sio wake zako hao.....una haki kwa mkeo tu kwingine pita kama umemuona shetani.........ukikubali kula kubali kuliwa
 
Ndo maana sitaki michepuko,najua wana hasara tu,wala hawana jipya.
Na ww usiwafuate kuomba papuchi sio wake zako hao.....una haki kwa mkeo tu kwingine pita kama umemuona shetani.........ukikubali kula kubali kuliwa
 
Gharamia vizuri upewe papuchi upendavyo. Ukisuasua nami nasuasua. Mbona simple tu jamani nini kinawashinda? Wengine sio kama hamnazo bali ubahili umewajaa. Asikwambie mtu pesa inaongeza nyege..ukipewa lazima ujipange kutoa show kali au kuzidisha mapenzi.
Shkamoo
 
Tulia na mwanamke mmoja ambae atakua mke wako siku zijazo mgharamie yeye tu .....wala hutokuja kulia lia hapa......

Ukiona mtu analialia kuombwa pesa ujue hanaaaaa
 
Ndo maanake,mi pesa zangu zinaniuma sana,kwa sasa namka mapema na kurudi home mda umeenda alafu anatokea mwanamke anayetaka kunipiga ela,hapo siwezi kumuelewa hata kidogo
Acha tu kuwaomba K mkuu, utaepuka haya yote
 
Back
Top Bottom