Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Mwanaume analalamika kutoa elf 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duu shida sana,
waweke makufuri makubwa kwenye zipu wawaache wenzao watumie pesa
Waweke lock ya finger print
 
Sana tu kila kitu unapata kwanini usikae, sio wote wanataka wake zao wafanye kazi za kuajiriwa huko,
tatizo ushamba sijui au sijui kitu gani
Hawana hela mbugila mbugilaaaaa....huwezi kukuta wenye hela zao wanaongea ushubwada
 
Wenye pesa za mawazo utasikia nijenge ukweni sijaoa ukoo
Na wenye pesa ata huangaiki kumwambia km amependa kweli na anakuona ni mwanamke wa maisha yake anafanya vitu kwa surprise tu hawa wa kulia lia jaman ndo maana Mungu aliniepushia iko kikombe na sisemei kwetu ni wa kujengewa noo ila skupewa wa kulia lia ivo hahah
 
Ndiyo hivyo anayejua wajibu wake wala huwezi tumia nguvu lakini hawa mbunyenye pesa yake inafichwa hata kusikofichika
 
Mara zote ni wale wasokuwa na pesa afu wana mawazo mafupiiiiii kikombe kina afazali jaman kwa vile hawana uwezo wa kufanya vile wengine wanafanya basi wanajua wanaume woooote kamba zao zinalingana urefu
 
Ndiyo wale mwenzie akiwa anahudumia mpenzi utasikia katawaliwa na mpenzi wake wivu tu
unamsumbua badala ya kutafutavpesa
 
Back
Top Bottom